Tall building a threat to Ikulu

Tulilalamika weeeeee lakini kwa vile baraka za kulijenga zilitoka hukohuko wacha wavune walichopanda. Ukitaka kufanya chochote pale ikulu kule juu ndio the best point.

Rais ajae atahamia makao makuu ya nchi ya Tanganyika ambayo ni Dodoma.
 
Tanzania hii mtu binafsi anaweza kuamua kuunda parallel intelligence and security organization na likawa competent kuliko hawa wanaolipwa mishahara kwa jasho la wavujajasho eti TISS. Hawa jamaa sijui hata huwa operatives wao wanawatoaga wapi, majamaa yako dumb mpaka basi. Ndo maana Chadema walipotishia kuwaongezea ukakamavu Red brigade wapangaji wote wa Ikulu na vyombo vya dola ma****i yalianza kuwatoka. Watu gani hawa wanashindwa hata kuona twiga anapanda ndege, Kagame tu akijipanga Kikwete hamalizi muda wake.
 
Rais wa Tanganyika hua analindwa na Mungu.. maana hata hao wana mlinda nao ni vimeo.

Hhahahahahahahahaha....inachekesha lakini very true...hao vimeo walikuwa wapi wakati linajengwa?Mpaka wageni (FBI) wanakuja kuwatonya?Duuh..bongo bana!Hakawi kukuta Kagame keshabook chumba hapo!
 
Nani anajali maisha yake....tna yawe hatarini zaidi ya hapo
Kagame alisema anasubiri muda mwafaka watu wake walitumie jengo hilo hilo kum-hit.so far mmewakaribisha wanyarwanda kwenye usalama wenu wa taifa.
 
Je hapa Benki Kuu ya Tanzania Twin Towers akiingia gaidi hawezi kupata usawa wa IKULU ya Mkulu? nafikiri jambo jema ni kuimarisha ulinzi wa majengo marefu (Lighthouse Dar-es-Salaam Port) yanayoweza kutumiwa na 'magaidi' kuyateka kupiga kombora IKULU. Serikali iandae mkakati wa kuhakikisha majengo yote marefu yenye mwelekeo wa kuiona IKULU kwa urahisi yanapatiwa ulinzi wa kisasa kama wa 'FBI' na Secret Service ya USA walipokuwa hapa Tanzania wakati wa ujio wa Rais wa Marekani.
 
Yangu macho na masikio juu ya hilo, ila ukweli upo katika habari japo mimi sio mdau wa usalama.
 

Chukua LIKE kubwa kabisa mkuu
 

kiukweli sijaelewa relevancy ya copy and paste yako...hapa tatzo ni ukaribu wa jengo refu na ikulu ..wewe ukakopi na kuleta habari za majengo marefu..hata dar yapo marefu kuliko hili...labda sijakuelewa
 
Kwa maana hiyo hao wanaojiita Usalama wa Taifa hili ni mazuzu kabisa. Iweje wasigundue hilo mapema? wao ndio wenye kazi ya kuhakikisha usalama hasa wa Ikulu, au wanajua tu kukimbiza misafara na kutugandisha barabarani weeeeeee! hovyo kabisa

Kazi ya usalama wa taifa sio kumlinda raisi siku kazi yao ku-deal na waandishi wa habari vyama vya siasa na wale ambao mitizamo yao inakinzana na serikali
 
Tangu msingi hadi finishing TISS walikuwa wapi?wacha auwawe kwanza ametuletea matatizo yasiyoweza kusafishika tanzania,wanaweza mmaliza leo?

Hivi Enzi za TISS kubeba zege na Kushiriki ujenzi mkono kwa mkono kuhakikisha Usalama wa Watumiaji nA watu wote kwa ujumla umepitwa na wakati?

Inaelekea TISS wa sikuihizi ni Masharobaro, Sijuhi kama wanaweza hata Kujifanya Wendawazimu tena kama enzi zile.
 

Gharama zote za nini hizo? Wakati kuitisha Uchaguzi mpya ni kama 100Bil tu?
 
Walinunue tu hilo jengo, nadhani ndiyo ilikua plan ya jamaa maana unataka uniambie alikua hajui kua liko karibu na ikulu?
Msela alijenga ili walete zongobingo aliuze, walinunue waweke watu wa usalama humo waache kupoteza muda
 
Inachekesha lakini pia inatia kinyaa? Hapo jengo lilipo ni moja ya njia kuu za kutoka ba kuingia ikulu. Hivi viongozi wito na maafisa usalama walikuwa hawalioni au?. Narudia tena hili jambo linatia kichefuchefu hata kulisikia! Watu wawajibishwe na jengo litathminiwe linunuliwe na serikali. Tusisubiri maadui wa take opportunity ya maisha ya rais wetu. Mungu apishe mbali.
 
kiukweli sijaelewa relevancy ya copy and paste yako...hapa tatzo ni ukaribu wa jengo refu na ikulu ..wewe ukakopi na kuleta habari za majengo marefu..hata dar yapo marefu kuliko hili...labda sijakuelewa

Endelea kutokuelewa na kama unadhani kukopi na kupesti ni rahisi basi jaribu na wewe....relevance ya post yangu ni kuionyesha JF jinsi wenzetu walivyo makini na usalama wa ikulu yao ambayo iko Washington DC....Wengi wamenielewa!
 
Unajua kama kusema watanzania na vyombo vya habar pia vimesema sana ila viongoz wetu wanatuona wapumbav sana nakumbuka niliwah kusoma makala kwenye magazet na serikal ilivyo na usanii eti waliotoa Kibal wameshtakiwa, Hii ni sanaa ya kitoto unajua pemben ya lile jengo wanakaa na maafisa wa usalaam wa taifa sasa hawakuona? Na taarifa zilizopo eti serikal imepangisha floor ya juu ili kulinda usalama huu si ufujajia jaman, halaf tunaongezewa kodi ili tulipe isiyo na tija
 


WAPENDEKEZA JENGO LIVUNJWE
Habari zaidi zinasema FBI hao walipendekeza jengo hilo livunjwe ama liwe la serikali na waishi wana usalama wanaolinda viongozi wa kitaifa.


Aaa wapi...
Marehemu Laurent Kabila aliuwawa na mlinzi wake wa karibu tu, wala hakuhitaji mtu kupanda ghorofani.
Ulinzi mkubwa zaidi kwa rais ni matendo yake mema kwa wananchi waliomchagua...

Embu ona huyu rais wa Uruguay hapa....




José Mujica - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Walinunue tu hilo jengo, nadhani ndiyo ilikua plan ya jamaa maana unataka uniambie alikua hajui kua liko karibu na ikulu?
Msela alijenga ili walete zongobingo aliuze, walinunue waweke watu wa usalama humo waache kupoteza muda

Dawa ni moja tu Rais ahamie Dodoma
 
kwakweli nimekupenda wanyamaze milele tumeshachoka na nyimbo zao za mabata maa madogo yanaogelea.

UOTE=Komeo;7070774]Kwani hilo jengo limeota ghafla kama uyoga, wakaamka asubuhi wakalikuta lipo? (Hapana)
Limejengwa muda wote kwa siri? (Hapana)
Unaweza kulificha ghorofa refu kwa kuliwekea uzio? (Hapana)
Watu wa Ikulu walikuwa wanapita njia gani kuelekea Ikulu wakati ujenzi ukiendelea? (Njia hiyo hiyo)
Walikuwa hawalioni wakati mkandarasi kaweka na vibao kulitambulisha ujenzi wake? (Waliona)
Hakuna mamlaka za Serikali yetu tukufu zilizobariki ujenzi huo? (Zipo)
Wanausalama wanaotoa assessment zao za kiusalama sasa, hawakuwepo wakati linaanza kujengwa (Walikuwepo)
Walichukua hatua gani kulizuia kwa sababu za kiusalama? (Walinyamaza)
HIVI WATANZANIA WENZANGU, HATUWEZI KUACHA USANII HATA KIDOGO? (Tumejitahidi tumeshindwa)
Sasa mtajeni kigogo aliye "nyuma" ya ghorofa hili, au mnyamaze milele! Tushachoka sisi.[/QUOTE]
 
Nyerere alijua mapema ipo siku ikulu itabanwa na wanajamii kwa Majengo huku Baharini kukinuka kwa lile bomba la hospt soko la samaki nk huku Pia jeshi wakihitaji Nyambizi ya Ulinzi Ndipo Nyerere akapendekeza kuhamia Dodoma ili ikulu ikae sehemu yenye utulivu mkubwa Tiba ya kuyakwepa majengo yasimchungulie Mh Rais ni kuhamia Dodoma tu si vinginevyo tunamwomba Mh Rais alifikirie hili ili ikiwezekana ahamie Dodoma aepukane na haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…