Taleban wanaendesha ndege kama magari mitaani

Taleban wanaendesha ndege kama magari mitaani

Katika hali isiyokua ya kawaida wapiganaji wa taleban Nchini Afghanistan wanaendelea kuonesha vituko vyao ambapo sasa wanaendesha Helicopters za kijeshi barabarani kama magari na imeshindwa kueleweka je wanaogopa kuruka nazo au hazina uwezo kuruka... Link hiyo jionee vituko..https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1546582745696466&id=185128278508593View attachment 1936061View attachment 1936062
Nilishagasema hawa majamaa wa vipedo ni hewa tu
 
Hao jamaa wanaxidiwaje akili mpaka na wasomali
Kwa miaka 20 walikua kwenye mapango ambapo ni kama jela hawakua huru na dunia yetu wakiogopa kutoa vichwa kwenye mashimo kama nguchiro kwa hiyo akili zime corrupt
 
Mimi nimependa jinsi wanafunzi wa kuume na kike wa vyuo vikuu Afghanistan wanavuokaa darasani kwa kutenganishwa na pazia! Yaani dunia hii ya dot com watu wanatenganishwa na pazia kwenye chumba cha darasa kuzuia wasivutane kimahaba! Hizi dini jamani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom