Talaka

Mbava

Member
May 18, 2011
30
1
Nani mwenye kuathirika zaidi, kati mwanamke na mwanamme baada ya talaka? Naombeni wana JF.
 
Nani katoka talaka mmeo/mkeo! chanzo nini? na Je mmejaribu kushuruhishana mara kadhaa!
 
naamini wanawake ni strong zaidi (kama yeye ameachwa bila sababu,say mwenzie kapata a tempting partner),japokuwa it will take time to move on. mwanaume,majority, akiachwa say kwa the same reason anakuwa shattered down badly,inachukua muda kichwa kutulia.japo atakunywa pombe na labda sleeping with anything in a skirt,lakini kichwa na moyo vinakuwa na hali mbaya.
 
Hakuna anae athirika endapo wanandoa hao hawana watoto. Bt km wanawatoto mara nyingi mke hubeba msalaba, hulea watoto mwenyewe!
 
Back
Top Bottom