Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Eti uharakati?! Kutoa siri za mamlaka serikalini mtandaoni nawo ni uharakati! Kweli tumekosa role models, angerudi na kushiriki kwenye pilikapilika za watoto yatima, elimu kwa wasiojiweza, kushiriki kujenga shule au hata uchimbaji visima kwa wanaohitaji huduma hapo tungeelewa, lakini post zimejaa matusi ya nguoni mwanzo mwisho hapo uharakati gani?!
Kabisa,haoni akina Faraja Nyarandu na wengineo ambao wamejitoa zaidi kwa jamii wanavyoheshimika?

Ipo siku hao wanaomwabudu leo na kumjaza bichwa kwa umaarufu watakaa kando na kumchungulia wakitabasamu baada ya kupata matatizo.

MTU gani matusi kwake ndiyo lugha ya kuwasilisha Ujumbe?
 
Kabisa,haoni akina Faraja Nyarandu na wengineo ambao wamejitoa zaidi kwa jamii wanavyoheshimika? Ipo siku hao wanaomwabudu leo na kumjaza bichwa kwa umaarufu watakaa kando na kumchungulia wakitabasamu baada ya kupata matatizo. MTU gani matusi kwake ndiyo lugha ya kuwasilisha Ujumbe?
Lakini labda tujilaumu sote, tulikaa kimya wakati wa upuuzi wa vyeti feki na kutokuhamasisha usomaji wa habari zenye tija, hasa kwenye magazeti na mitandao, zao lake ndilo hili mkuu, ebu tujitahidi..
 
Si alikuwa anamcheka Zari kuwa dai kazaa na mwanamke mwengine..... sasa yy kaachwa kabisa.... tuwe tunatizama tunachoandika
 
Kawakamata tena! yeye kishaingiza hela hapo! mbona MANGE kaachwa kipindi sana.Alitaka watu mu-follow insta kwa wingi inakuwa kuna mharo anataka kuutoa hivi karibuni.........
 
Si alikuwa anamcheka Zari kuwa dai kazaa na mwanamke mwengine..... sasa yy kaachwa kabisa.... tuwe tunatizama tunachoandika
mkuu hii habari ina zaidi ya mwaka, angalia tarehe hapo juu......yaani kabla hata dai hajazaa na hamisa
 
sipati akirudi hapa ataishije manake ana maadui wengi sana aliowachambua kwenye mtandao wake na wengine wamepoteza mahela mengi kujisafisa kwasabbu yake.uadui mwingine wa kujitakia huu. namshauri apambane aishi tu hukohuko ulaya hadi uzeeni.
Mkuu, binadamu wote tunashauriwa kuweka akiba ya maneno tunapoongea. Hiki ndicho chanzo kikuu cha uhasama na watu. "Be polite to the people on your way up so that you may meet them on your down" Nilikaririshwa na mwalimu wangu nikiwa darasa la saba. Sijui iko sahihi au la.
 
mkuu hii habari ina zaidi ya mwaka, angalia tarehe hapo juu......yaani kabla hata dai hajazaa na hamisa
Ndo niliigundua baada ya kupost lakini nkaona bora niache tu mana still ndo yale yale. Kushadidia maisha ya watu kuharibika wakati na yako mwenyewe mabovu...... lazima tuwe makini na haya maisha.
 
Hahahahaaa anadanganya watu anafanya diet wakati life imempiga.
Kakongoroka macho yamesinyaa kama kizee cha miaka 70!
Kabaki fuvu la kichwa tu.
Ile picha aliyopiga akiwa supermarket nilihisi atadondoka!
Sio kwa kukonda kule.
Hahaha! Ulimfukuza moja kwa moja! Ila sijapenda yeye kukimbia moja kwa moja! Yani one post only! Sasa mtu kama yeye alitakiwa awe na ngozi nene kidogo:D
 
Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa..... ..
Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni NTanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye bitches
Da Mange walikua wanakuchukia tu.! mwanamke wa kipare haachiki.
Hide my ID pliz
 
Back
Top Bottom