A
Anonymous
Guest
Je, wahusika wa usalama barabarani wamejiwekea malengo gani kwenye kupunguza ajali za barabarani? Kwasababu, wanachi hatupewi takwimu zinazonesha kupungua kwa ajali za barabarani, hatua zinazochukuliwa dhidi ya wahusika wanaosababisha ajali ambazo zimekuwa zikitokea au mpango mkakati wa kupungua na kutokomeza ajali ambazo zimekuwa zikigharimu maisha yetu.