Takwimu hazidanganyi: Feisal vs Miquissone

Mkola Tz

Member
Sep 10, 2021
15
14
Kwani Nani alistahili kuchukua hi tuzo

FB_IMG_1634888974542.jpg
 
Feisal dude kubwa hilo. Mchezaji bora hatuangalii kufunga tu, kuna vitu tunaangalia. Labda kama mnataka mvijue mseme.
 
Yaani mnavyo lalamika, unaweza kudhani labda hizo tuzo zina kitu cha ajabu! Kumbe ni upuuzi mtupu.
 
Miquissone ni fundi san wa soka ,Fei toto amepew hiyo tuzo kwasabab tu ni m bongo mwenzetu ila ki uwezo hamfikii Konde boy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom