TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

Kwa jinsi Kikwete alivyotetea kwamba hz sio fedha za umma, itabidi basi Singasinga na Rugemalila wamuite mahakamani akawatetee. Afadhali nao sasa watapata mtetezi.
KIKWETE alinifanya hata mimi niamini kuwa zile pesa hazikuwa za umma .Anyway kwa mara ya kwanza Kikwete alinifanya nielewe kuwa Raisi aweza pia kuwa muongo na tapeli.Kutuongopea watanzania mamilioni hakututendea haki
 
Kwani magufuli sio muongo?
 
Tanesco wameuziwa Umeme na IPTL

IPTL imepeleka Invoice Tanesco

Tanesco wamelipa ile Invoice isipokuwa badala ya kulipa kwny Account ya IPTL wakaipeleka kwny Account iliyoitwa Tegeta Escrow

Mwisho wa siku unaamini fedha zile ni za Serikal, jiulize swali dogo tu, Iweje Umeme uwe wa IPTL halafu Serikali ijilipe yenyewe fedha

Kama bado huelewo, google ujue maana ya Escrow Accounts, then jiulize kwanini ilifungiliwa account hiyo?, chanzo cha kufunguliwa Account hiyo ilikuwa ni mgogoro baina ya wana hisa au baina ya IPTL na Serikali?

Kama sio za umma za nani? Tibaijuka mbona yupo nje na alipokea mpunga?
 
Hawa wazee wakubali tu kukaa meza moja Ili wanunue Uhuru wao Kama walivyofanya wengine wazungumze yaishe huwezi ukashindana ligi na jiwe pale ni kiwanda cha ligi. Wafanye alivyofanya manji wakubali tu kuhusujidia msalaba Ili wawe huru. Wakizidi shupaza shingo watastaafu na mtu na Kama atabadili katiba ndo watafia jela. Yule Bwana anachotaka tu ni kuabudiwa sasa chagua kupigwa chapa 666 uwe huru kuuza au kununua au shingo ngumu uoze ndani maana kukuweka ndani hata 10 yrs pasipo ushahidi kukamilika ni sawa na kunywa soda.
Kweli kabisa wangempa hata bilion 3 zingine wabaki nazo waanzie maisha huku mtaani ruge kakomaa sana tibaijuka na ngeleja kila mmoja angetoa million 500 walizogawiwa maisha yaendelee
 
KIKWETE alinifanya hata mimi niamini kuwa zile pesa hazikuwa za umma .Anyway kwa mara ya kwanza Kikwete alinifanya nielewe kuwa Raisi aweza pia kuwa muongo na tapeli.Kutuongopea watanzania mamilioni hakututendea haki
ipo siku utakuja kukiri tu hata kwa aliyepo sasa
 
Shida yako nn mkuu....Kuambiwa mafisadi halisi wa escrow kupitia Stanbic wawekwe imekugusa?.....Yaani ww kwa akili yako ndogo ufisadi wa ccm unaoujua ni escrow na richmond tu?
Lugumi
Bormberdier
chato
Rada
ndege ya rais
kivuko kibovu
nyumba za serikali
kagoda
epa
etc
ccm ndo wahusika sasa ww unataka majizi wafanywe nn

Thus ile mahakama ya mafisadi iliyofunguliwa kwa mbwembwe bila kustudy wateja wakuu wangekuwa ni wanachama wa chama chakavu imekufa kibudu wote wangeishia huko. Huwezi fanya ufisadi ukafanikiwa pasipo mkono wa ccm. Kutenganisha ccm na ufisadi ni sawa na kutenganisha chai na sukari
 
wakirudisha wanaachiwa sababu waliochukua hizo pesa waliorudisha wako free uraiani
True hao wazee wanapenda wenyewe kukaa ndani wengine mbona wametoka Kazi ya pesa Ni nini sasa kama uitumii kununulia Uhuru wako.
Wakiendekeza ligi wao ndo wataumia.
 
Kutoa bilioni 10 katika 300 ukawapa unapunguka na nini. Wao waendeleze ligi atawatoa ajae waombe tu katiba isibadilishwe
 
Upewe hela kwa kazi ipi uliyofanya....mjinga sana
Nyie ndio mnakuja kuolewa kwa kupenda slope.
Kipi bora kununua Uhuru wako Ili uzalishe zaidi au kukaa ndani hata miaka 20 kusubiria ushahidi ukamilike Ili upate haki yako
 
Tanesco wameuziwa Umeme na IPTL

IPTL imepeleka Invoice Tanesco

Tanesco wamelipa ile Invoice isipokuwa badala ya kulipa kwny Account ya IPTL wakaipeleka kwny Account iliyoitwa Tegeta Escrow

Mwisho wa siku unaamini fedha zile ni za Serikal, jiulize swali dogo tu, Iweje Umeme uwe wa IPTL halafu Serikali ijilipe yenyewe fedha

Kama bado huelewo, google ujue maana ya Escrow Accounts, then jiulize kwanini ilifungiliwa account hiyo?, chanzo cha kufunguliwa Account hiyo ilikuwa ni mgogoro baina ya wana hisa au baina ya IPTL na Serikali?
Watanzania wengi vichwa vyao vizito sana kucompute hata ishu rahisi tu kama hiyo...
 
Kipi bora kununua Uhuru wako Ili uzalishe zaidi au kukaa ndani hata miaka 20 kusubiria ushahidi ukamilike Ili upate haki yako
Nikuhakikishie hawa watu sio wajinga mpaka wakaamua kufanya hivyo.
"Maisha yako yote muogope mtu tajiri"...hata kama hakupata kihalali
 
JK aliwaambia Wa TZ ukweli mchungu kuwa zile fedha za Escrow si za Serikali bali Serikal iliziweka kwa makubaliano ya Wanahisa wa IPTL kutokana na ugomvi baina yao kwa makubaliano wakielewana tuwape, Wanasiasa Uchwara wakapotosha

Ilipoingia Serikal ya awamu ya 5 wakapiga sana kelele hadi Serikal ikaingia Mkenge kuwakamata, mwaka wa 3 huu tumekwama, na wale waliokuwa wanashawishi wakamatwe wameufyata

Mihemko inaangamiza Taifa

Wale Wazee wana msimamo wameona heri wafie mahabusu kuliko kukiri kosa ambalo hawajalifanya

Kikwete alicho kisema ni sahihi kabisa- hivi inaingia akilini kwamba Tanesco/ Serikali ilitaka itumie umeme unao zalishwa na IPTL bure bila ya kuulipia?

Kikwete aliweka wazi ni kitu gani kilijiri mpaka Serikali ikakubali uhamuzi wa msuruhishi kuanzisha account ya Escrow mpaka hapo dispute baina ya Tanesco na IPTL itakapo fikia tamati - mwisho wa siku IPTL ikashinda na kulipwa malipo yao stahiki lakini suala lote linapotoshwa kimakusidi for aidha chuki binafsi au political reasons .

Kikwete alisema repeatdly kwamba fedha za Escrow sizo za Serikali - na ni kweli, lakini wahusika wakaweka pamba masikioni na ku-insist kwamba Rugemalila has acase to answer!! Nani ambaye hajui kwamba baadae Rugemalila aliuza shares zake za IPTL kalipwa fedha nyingi na yeye kulipa kodi ya mapato TRA, lakini watu wenye chuki binafsi wakamugeuzia kibao Rugemalila na kumfungulia mashtaka ya kuhujumu uchumi huku wakijuwa fika, kwamba tuhuma hizo hazina mdhamana, lengo ni kutaka kumukomoa wakawafuata hata marafiki zake wakatiwa msukosuko kwa kuwahoji kwa nini walipewa fedha na Rugemalila as if Rugemalila hana haki ya kumpatia mtu yeyote ambae ni swahiba wake - sisi hayo yanatuhusu nini - mbona hela ni zake, hajamwibia mtu.

Mtu wa watu anaozea gerezani kwa kesi ya kufikirika tu ambayo kwa asilimia kubwa ilikuwa driven by wivu tu - wanamjengea hoja ya kumkomesha, alifikia hatua ya kutaka kuanika kila kitu adharani kuonyesha kwamba yeye hana kesi ya kujibu lakini wahusika wakuu wakampuuzia na kuendelea kumukomoa ili aendelee kubaki gerezani na ikiwezekani a join his maker akiwa huko huko Gerezani.

Taifa letu wakati mwingine linafanya mambo ya ndio sivyo kwa kuwasingizia/geuzia kibao watu walio wahi kuonyesha uzalendo wa hali ya juu, tuchukulie mfano wa Rugemalila: miaka ya nyuma Taifa letu liliwahi kukumbwa na crisis kubwa ya uzalishaji umeme mpaka viwanda na taasisi nyeti nusura vifungwe, wakati huo Serikali ilikuwa haina uwezo wa kutumia alternative source ya kuzalisha umeme wa kukidhi mahitaji ya umeme Nchini - the brains behind ya uzalishaji umeme mbadala alikuwa ni Rugemalila mwenyewe, alitumia influence yake kuwashawishi business partners wake wa Malysia na VietNam waje Tanzania kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme faster, and they did in a record time wakaokoa jahazi - hilo hamlikumbuki hata kidogo muda wote wamekazania kumukomoa Rugemalila.

Pendekezo langu Dk.Magufuli ajaribu ku-revisit suala zima la Escrow ashauriane na Mh.Jakaya Kikwete ambae anajua undani wa suala zima wangalie kama kweli Rugememalila ana kesi ya kujibu au ni masuala ya kukomoana tu. Sio vizuri kutowatendea haki Wazalendo walio wahi kujitolea kunusuru Taifa letu kiuchumi - alitumia akili zake kulisaidia Taifa letu, kwani tatizo liko wapi - msikilizeni Rugemalila ana nini cha kusema na sio kutumia vyombo vya dola kumu-muzzle ili hasiseme lolote.
 
Back
Top Bottom