TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

Hili fagio cio la chelewa, hakuna jiwe litakalobakia juu ya jiwe. Kama ni kweli naona movie ya ESCROW ikianza upya, ila sasa sterling wake sasa ndyo balaa hamuangalii mtu mara mbili.
Bado Chenge na genge lake la majizi.
 
Hamna kesi hapo Rais kikwete alishasema sio hela za umma ! why wanakamatwa ???

"nakumbukuka siku ile pale diamond jubilee nikiwa na shati langu la kijani na kofia ya njano mwenyekiti wetu tulimshangilia sana alipowazodoa wapinzani kuwa fedha sio za umma "

any way tuwaache wastaafu wapumzike tulishaonywa juzi wakati akiagana na WANAUME wa barrick......tusiwaseme wastaafu

Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Utezi wa Tibaijuka watenguliwa
Kwa jinsi Kikwete alivyotetea kwamba hz sio fedha za umma, itabidi basi Singasinga na Rugemalila wamuite mahakamani akawatetee. Afadhali nao sasa watapata mtetezi.
 
Mwenye hela hafungwi
hiyo labda zamani sio kwa huyu bb Jesca,huyu keshawa weka kina Kitillya na yule mrembo iwe hawa? wewe hii ni awamu ya tano....kaa vizuri uangalie hadi mwisho.Watanzania wanajiita wanasheria utasikia wanachukua tenda ya kuwatetea hao mafisadi
 
Kuna baadhi ya wanufaika wa mgao wa Escrow kutoka kwa mzee Rugemalila nafsi zinawasuta na wangependa kuzirejesha fedha hizo. Je, ni wapi wazirejeshe maana aliyewapa yupo mbaroni?! Toa ushauri bila povu wala kejeli, ahsante!
 
Punguza mihemko mkuu....

Wewe kama unainama usilazimishe kila mtu ainame, kila mtu anamawazo yake na wala sipo kubisha au kupinga mawazo yako......

Katika posti yangu sijaandika Neno Ccm, na usidhani kama mtu anawaza tofauti na unavowaza wewe basi ni Ccm, nimetoa mawazo yangu Fisadi yoyote awe wa Escrow, Richmond awe Ccm awe wa Chadema au kokote adhabu iwe kufilisiwa tu mali zake.......

Ayo majina ya Stanbic bank kama unayo na umeona jina la Mfalme tuwekee tu nae tumwandame vilevile......!
Shida yako nn mkuu....Kuambiwa mafisadi halisi wa escrow kupitia Stanbic wawekwe imekugusa?.....Yaani ww kwa akili yako ndogo ufisadi wa ccm unaoujua ni escrow na richmond tu?
Lugumi
Bormberdier
chato
Rada
ndege ya rais
kivuko kibovu
nyumba za serikali
kagoda
epa
etc
ccm ndo wahusika sasa ww unataka majizi wafanywe nn
 
Shida yangu ni vile usivoweza kujibu hoja bila kutumia maneno ya kejel mf: "Zwazwa", " Akili ndogo" nashangaa we mwenye Akili kubwa usivoweza kutumia akili yako.....

Iko wazi nishasema Tangu mwanzo awa Mafisadi badala ya kuwafunga au kuwapiga fine tu pia wafilisiwe ela walizoo ziiba.......

Sasa katika ilo sijaelewa unapinga nini...... We utaki wakamatwe? Utaki wafilisiwe,,?
 
Mtu mwenye tamaa na ubinafsi hawezi kungojea hata wiki moja WACHA hiyo miaka miwili. Kikwete aliingia nadarakani kwa kishindo serikali mpya MTINDO mpya. Ufisadi kwenye serikali yangu kutakuwa hakuna tena akinena, tukapiga makofi kwa furaha. Hazikupita hata wiki mbili Tanzania ikaanza kutafunwa huku tukiona. Akaendeleza pale Mkapa alipoachia.
Unataka kusema mzee wetu hatakuja badili gia angani? Mie Hawa siwaamini amini naona hata mjomba atakuja kuwa kama waliopita
 
Hii sinema imeishia wapi? Hawa watu bado wapo lockup kweli au kiini macho cha ccm na magufuli?
Hawa wazee wakubali tu kukaa meza moja Ili wanunue Uhuru wao Kama walivyofanya wengine wazungumze yaishe huwezi ukashindana ligi na jiwe pale ni kiwanda cha ligi. Wafanye alivyofanya manji wakubali tu kuhusujidia msalaba Ili wawe huru. Wakizidi shupaza shingo watastaafu na mtu na Kama atabadili katiba ndo watafia jela. Yule Bwana anachotaka tu ni kuabudiwa sasa chagua kupigwa chapa 666 uwe huru kuuza au kununua au shingo ngumu uoze ndani maana kukuweka ndani hata 10 yrs pasipo ushahidi kukamilika ni sawa na kunywa soda.
 
Shida yangu ni vile usivoweza kujibu hoja bila kutumia maneno ya kejel mf: "Zwazwa", " Akili ndogo" nashangaa we mwenye Akili kubwa usivoweza kutumia akili yako.....

Iko wazi nishasema Tangu mwanzo awa Mafisadi badala ya kuwafunga au kuwapiga fine tu pia wafilisiwe ela walizoo ziiba.......

Sasa katika ilo sijaelewa unapinga nini...... We utaki wakamatwe? Utaki wafilisiwe,,?

Hapo ni kuwaonea hivi ccm nani ni msafi na si fisadi.Maana mahakama ya mafisadi ingefanya Kazi hakuna mccm angebakia nje.
 
Shida yako nn mkuu....Kuambiwa mafisadi halisi wa escrow kupitia Stanbic wawekwe imekugusa?.....Yaani ww kwa akili yako ndogo ufisadi wa ccm unaoujua ni escrow na richmond tu?
Lugumi
Bormberdier
chato
Rada
ndege ya rais
kivuko kibovu
nyumba za serikali
kagoda
epa
etc
ccm ndo wahusika sasa ww unataka majizi wafanywe nn

Thus ile mahakama ya mafisadi iliyofunguliwa kwa mbwembwe bila kustudy wateja wakuu wangekuwa ni wanachama wa chama chakavu imekufa kibudu wote wangeishia huko. Huwezi fanya ufisadi ukafanikiwa pasipo mkono wa ccm
 
JK aliwaambia Wa TZ ukweli mchungu kuwa zile fedha za Escrow si za Serikali bali Serikal iliziweka kwa makubaliano ya Wanahisa wa IPTL kutokana na ugomvi baina yao kwa makubaliano wakielewana tuwape, Wanasiasa Uchwara wakapotosha

Ilipoingia Serikal ya awamu ya 5 wakapiga sana kelele hadi Serikal ikaingia Mkenge kuwakamata, mwaka wa 3 huu tumekwama, na wale waliokuwa wanashawishi wakamatwe wameufyata

Mihemko inaangamiza Taifa

Wale Wazee wana msimamo wameona heri wafie mahabusu kuliko kukiri kosa ambalo hawajalifanya

Hawa wazee wakubali tu kukaa meza moja Ili wanunue Uhuru wao Kama walivyofanya wengine wazungumze yaishe huwezi ukashindana ligi na jiwe pale ni kiwanda cha ligi. Wafanye alivyofanya manji wakubali tu kuhusujidia msalaba Ili wawe huru. Wakizidi shupaza shingo watastaafu na mtu na Kama atabadili katiba ndo watafia jela. Yule Bwana anachotaka tu ni kuabudiwa sasa chagua kupigwa chapa 666 uwe huru kuuza au kununua au shingo ngumu uoze ndani maana kukuweka ndani hata 10 yrs pasipo ushahidi kukamilika ni sawa na kunywa soda.
 
Shida yako nn mkuu....Kuambiwa mafisadi halisi wa escrow kupitia Stanbic wawekwe imekugusa?.....Yaani ww kwa akili yako ndogo ufisadi wa ccm unaoujua ni escrow na richmond tu?
Lugumi
Bormberdier
chato
Rada
ndege ya rais
kivuko kibovu
nyumba za serikali
kagoda
epa
etc
ccm ndo wahusika sasa ww unataka majizi wafanywe nn

Thus ile mahakama ya mafisadi iliyofunguliwa kwa mbwembwe bila kustudy wateja wakuu wangekuwa ni wanachama wa chama chakavu imekufa kibudu wote wangeishia huko. Huwezi fanya ufisadi ukafanikiwa pasipo mkono wa ccm. Kutenganisha ccm na ufisadi ni sawa na kutenganisha chai na sukari
 
Back
Top Bottom