TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

Kuna Mijitu, athari ya Azimio la Arusha zipo kwenye bone marrow, wao lila mwenye pesa ni Mwizi
Kikwete alicho kisema ni sahihi kabisa- hivi inaingia akikini kwamba Tanesco/ Serikali ilitaka itumie umeme unao zalishwa na IPTL bure bila ya kuulipia?

Kikwete aliweka wazi ni kitu gani kilijiri mpaka Serikali ikakubali uhamuzi wa msuluhishaji kuanzisha account ya Escrow mpaka hapo dispute baina ya Tanesco na IPTL itakapo fikia tamati - mwisho wa siku IPTL ikashinda na kulipwa malipo yao stahiki, Kikwete alisema fedha hizo si za Serikali - na ni kweli, baadae Rugemalila akauza shares zake za IPTL kalipwa na yeye kulipa kodi ya mapato TRA, lakini watu wenye chuki binafsi wakamugeuzia kibao Rugemalila na kumfungulia nashtaka ya kuhujumu uchumi huku wakijuwa fika, kwamba tuhuma hizo hazina mdhamana, lengo ni kutaka kumukomoa wakawafuata hata marafiki zake kuwahoji kwa nini walipewa fedha na Rugemalila as if Rugemalila hana haki ya kumpatia mtu yeyote ambae ni swahiba yake sisi hayo yanatuhusu nini - hela ni zake, hajamwibia mt.

Mtu wa watu anaozea gerezani kwa kesi ya kufikirika tu driven by wivu tu - wanamjengea hoja ya kumkomesha, alifikia hatua ya kutaka kuanika kila kitu adharani kuonyesha kwamba yeye hana kesi ya kujibu lakini wahusika wakuu wakampuuzia na kuendelea kumukomoa ili aendelee kubaki gerezani na ikiwezekani a join his maker akiwa huko huko Gerezani.

Taifa letu wakati mwingine linafanya mambo ya ndio sivyo kwa kuwasingizia/geuzia kibao watu walio wahi kuonyesha uzalendo wa hali ya juu, tuchukulie mfano wa Rugemalila: miaka ya nyuma Taifa letu liliwahi kukumbwa na crisis kubwa ya uzalishaji umeme viwanda na taasisi nyeti nusura vifungwe, wakati huo Serikali ilikuwa haina uwezo wa kutumia alternative source ya kuzalisha umeme wa kukidhi mahitaji ya umeme Nchini - the brains behind ya uzalisjaji umeme mbadala alikuwa ni Rugemalila, alitumia influence yake kuwashawishi business partners wake wa Malysia na VietNam waje Tanzania kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme faster, and they did in a record time wakaokoa jahazi - hilo hamlikumbuki hata kidogo muda wote wamekazania kumukomoa Rugemalila.

Pendekezo langu Dk.Magufuli ajaribu ku-revisit suala zima la Escrow ashauliane na Mh.Jakaya Kikwete ambae anajua undani wa suala zima wangalie kama kweli Rugememalila ana kesi ya kujibu au ni masuala ya kukomoana tu. Sio vizuri kutowayendea haki Wazalendo walio wahi kujitolea kunusuru Taifa letu kiuchumi - katumia akili zake kwani tatizo liko wapi - msikilizeni ana nini cha kusema na sio kutumia vyombo vya dola kumu-muzzle ili hasiseme lolote.
 
Thus ile mahakama ya mafisadi iliyofunguliwa kwa mbwembwe bila kustudy wateja wakuu wangekuwa ni wanachama wa chama chakavu imekufa kibudu wote wangeishia huko. Huwezi fanya ufisadi ukafanikiwa pasipo mkono wa ccm. Kutenganisha ccm na ufisadi ni sawa na kutenganisha chai na sukari
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.
Kuna familia moja kitaa hapa familia yote ni wezi Babu mwizi mstaafu, mtoto wao mmoja wananchi walikata speed mita (misuli ya miguu) anatembelea gongo hawezi kukimbia but amekuwa ni dalali wa vitu vya wizi mjukuu wao alinipiga flat na sabwoofer nimemweka ndani.Baba yao Mkubwa wananchi walikata speed ni mzee anatembea kwa kusota.Wanawake wa familia hio ni waficha vitu vya wizi.Hii familia ni sawa na chama chakavu wote wezi.
 
Back
Top Bottom