TAKUKURU yakamata wana-CCM Arumeru Mashariki

TAKUKURU yakamata wana-CCM Arumeru Mashariki

hamna lolote hapo wanapoteza muda hao TAKUKURU kwanza ni wanafiki wakubwa cku zote walikua wapi kuwakamata, hiyo ni vita ya makundi dhidi ya EL lkn hawamuezi akiona anaelemewa anamuita mwanae RA aje ampe tough, alf utaonma jk anasalimu amli huyo ndo ngoyai bwana

kati ya nguo we ni chupi tena nyeusi, unatetea majambazi?ama kweli nchi yetu hii ukombozi bado tuna kazi ya kufanya!katie rock akili na domo lako hilo!
 
Kupitia chombo kimoja cha hbr leo usiku,nimepata kusikia ya kwmb kikosi cha kuzuia rushwa TAKUKURU imewatia nguvuni viongozi wa3 wa CCM waliokuwa wanatoa rushwa kwa wanainchi,Kisa wa washinde uchaguzi wa Ubunge utakaofanyika tar 1/04/2012

Kidogo nimeridhika lakini mpk nisikie wakikowafikisha hawa mafisadi.

Na kwa anayejua hii kisa kwa kina atujuze kwa undani.

nawakilisha!
 
Hii habari ilishaweka hapa toka saa 12 asubuhi pekua utaiona.
 
Hii habari ilishaweka hapa toka saa 12 asubuhi pekua utaiona.

Ckuiona Mkubwa!

Nimejaribu hata kuiperuzi kabla ya kuibandika hapa na sijaiona!

Invisible! Naomba unganisha hii thread na ile lengwa!

Thankx!
 
Back
Top Bottom