jitukubwalao
Senior Member
- Mar 29, 2011
- 194
- 161
wapendw waungwana jana huko Tarime ccm wamepigana na kurushiana viti je takukuru hawapo huko?kwani chanzo cha vurugu hizo ni rushwa,kwanini wasiwakamate watoa rushwa?:A S 465:
Duh! Jukwaa la siasa limejaa mpaka wameamua kuhamishia threads nyingine huku