Salaam! Kama members wa JF ni wengi siyo mbaya na sisi wengine tuwe tunaanzisha uzi kuliko kila ukiingia unakutana na nyuzi za watu wale wale!
Uzi Mkuu!
Kila nikijaribu kuangalia mahudhurio bungeni kupitia TV viti vingi vipo wazi! Tafsiri yake wabunge wengine ni watoro bungeni.
Swali;
1. Wabunge wengine wapo wapi mbona hata majimboni hawaonekani au kila siku wanakuwa na dharura?
2. Je, bunge hili lina tija ikiwa mijadala inaendeshwa na wabunge wachache?
3. Je, bunge kuwa la chama kimoja limepunguza uwajibikaji kwa mawaziri na wabunge wa CCM hivyo wanakula bata tu?
REJEO
Kipindi kile cha bunge la vyama vingi wabunge na mawazri walikuwa moto, kila mmoja alikuwa anajitahidi kuandaa nondo katika mijadala.
Yote kwa Yote!
Nchi kama Tanzania vyama vingi ni muhimu kwa ajili ya kuichangamsha serikali.