Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,711
Ila TAKUKURU mmeonyesha mpo kutekeleza mambo ya kutumwa , vichwani zero kabisa.
Hivi jengo kama hili, na mnamwita Rais aje kuzindua, akili kweli hizi.
Magufuli amewaonya kwamba waache kujipendekeza kwa kutaka kujenga ofisi Chato.
Inaonekana afande wa TAKUKURU hamna kitu na anacho waza yeye ni kujipendekeza.
.