Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,652
Takukuru nao wanapokuwa wezi!!!
Amka wewe. Kwa nini hakukataa pendekezo la kujengwa uwanja wa ndege Chatto wakati Geita uwanja upo???Tuweke ushabiki pembeni, magufuli ana mapungufu yake kama binadamu lkn ukiitazama speech ya leo utagundua huyu jamaa yuko vizuri, kuanzia dhamira yake na hata uwezo wake wa kukemea mambo ya kipumbavu kwa baadhi ya watendaji wake.
Eti alafu limejengwa kwa 100 na usheee 🤣Hili ndo jengo la makao makuu TAKUKURU?..!!
Amesema hata yeye anakupenda pia.Na ndiyo maana binafs nampenda Sana huyu Magu, Kura yangu anayo
He! Kwani makonda ni nani? Ebu nijaribu kuvuta kumbukumbu....makonda..makonda...makonda.....aahaaaa! nimemkumbuka, ni yule.Bashite aliyekuwa mkuu wa mkoa wa DSM.Hizo paa ndio Makonda alizipiga marufuku
Kwahiyo wewe unaona hilo jengo lina thamani ya hiyo pesa au lina hadhi ya kuzinduliwa na Rais? TAKUKURU WAMECHEMKAMkurugenzi wa Takukuru amefeli kwenye maelekezo aliyopewa ya kuwatafutia kesi Chadema. Kwa speech ya mzee leo imeonekana kabisa kuwa Mwanajeshi alisimama kwenye nafasi yake na akataka kufunga jalada la chadema.
Mzee Magu akifanya kitu lazimaga kiwe na sababu nyuma yake.
Umeona mbali sana.Mkurugenzi wa Takukuru amefeli kwenye maelekezo aliyopewa ya kuwatafutia kesi Chadema. Kwa speech ya mzee leo imeonekana kabisa kuwa Mwanajeshi alisimama kwenye nafasi yake na akataka kufunga jalada la chadema.
Mzee Magu akifanya kitu lazimaga kiwe na sababu nyuma yake.
Kwani ni lazima uongee kinyume na alichoongea Magu?Mkurugenzi wa Takukuru amefeli kwenye maelekezo aliyopewa ya kuwatafutia kesi Chadema. Kwa speech ya mzee leo imeonekana kabisa kuwa Mwanajeshi alisimama kwenye nafasi yake na akataka kufunga jalada la chadema.
Mzee Magu akifanya kitu lazimaga kiwe na sababu nyuma yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa wewe, akirudi kwenye reli this time utahama mji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]He! Kwani makonda ni nani? Ebu nijaribu kuvuta kumbukumbu....makonda..makonda...makonda.....aahaaaa! nimemkumbuka, ni yule.Bashite aliyekuwa mkuu wa mkoa wa DSM.
Yuko wapi huyu jamaa, nilishamsahau kabisa!!
Geita hakuna ujenziAmka wewe. Kwa nini hakukataa pendekezo la kujengwa uwanja wa ndege Chatto wakati Geita uwanja upo???
Kwa nini hakukataa kuitwa hifadhi Burigi chatto???
Kwa nini hakukataa ujenzi wa TRA Chatto? Crdb chatto???
Huu ni mwaka wa uchaguzi bwashee watu watavaa ngozi zote za kondoo wakati ndani ni Chui.
Huyo Mkurugenzi wa Takukuru kafeli kwenye kushindwa kutengeneza kesi dhidi ya Chadema basi.
Hakuna lolote hapo
Dhambi ni ugonjwa mbaya sana.
Mkamata rushwa naye ni mla rushwa. Mkamata mafisadi naye ni fisadi!
hopeless kabisa.
JESUS IS LORD!
Umemsahau?He! Kwani makonda ni nani? Ebu nijaribu kuvuta kumbukumbu....makonda..makonda...makonda.....aahaaaa! nimemkumbuka, ni yule.Bashite aliyekuwa mkuu wa mkoa wa DSM.
Yuko wapi huyu jamaa, nilishamsahau kabisa!!
Namshukuru Mungu kwa kunipa uwezo wa kuona mbali.Umeona mbali sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndiyo imetoka hiyo. Mwana kali-find mwana kali-get!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa wewe, akirudi kwenye reli this time utahama mji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]