TAKUKURU - TRA - Waandishi, Mnafanya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAKUKURU - TRA - Waandishi, Mnafanya nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Oct 2, 2009.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Rushwa ya wazi kabisa imekithiri pale eyapoti ya Dar, upande wa Cargo.

  Kwanza unaanza kutishwa na customofficer wakati anakuwa mizigo yako. Kuwa hii ushuru wake kiasi kadhaa... anakutajia ushuru mkubwa kiasi cha kukutisha. ''fanya maarifa tukusaidie''. Custom Officer akisha kutajia mfano, ushuru wa huu mzigo wa utakuwa ''million 2'', kwa hiyo kabla sijajaza hizi document zako, ''jee upo tayari kutowa nusu yake'' nikusaidie? Anakuweka katika jeoparedy kuwa yeye anakusaidia! ilhali niuongo mtupu anata kukula tu. At the same time anaanza kukutisha akishirikiana na clearing agent wako, kwa kuwa si wengi wenye ma permenent clearing agents, kwamba mnhhh tena huu mzigi inabidi upite ''tiskan'' na huko utachukuwa siku mbili tatu, kwa hiyo storage itazidi. Ukifikiria, umetoka zako Sumbawanga, umeletewa ka LCD TV na mwanao, nduguyo au umekaagiza mwenyewe kwa mtandao kutoka nje, gharamaza kukaa hoteli, ungoje na ''tiscan'' siku mbili au tatu, na ushuru ndio hivyo, utakuwa million mbili! Jee, ufanye nini? hata kama si mpenda kutowa rushwa, sistem ya utowaji mizigo ilipangwa ni ya makusudi kabisa ya kukufanya uitowe hiyo rushwa ukita usitake.

  Nauliza hivi? wale TAKUKURU, UWT, TRA, wanaobidi wawepo pale kuangalia mambo kama haya hayatokei na kuweka mfumo utayozuwiya hayo, wako wapi? au wote ndio wanakatiana?

  TAKUKURU,bila kuanza kufanya kazi zenu kwa makini, si kungoja kuletewa taarifa za rushwa au kubambikia watu, kuboresha na kushauri namna za kufanya, prosesi nzima ya utowaji mizigo pale eyapoti inatakiwa ifanywe upya ili kuzuwiya haya mambo, hamtakuwa mmefanya kitu.

  Nenda nchi za nje dakika kumi kwa mizigo midogo na saa moja kwa mizigo mikubwa inakuwa imeshatoka cargo za eyapoti, wanatushinda nini? Kompyuta tunazo, mizigoiko palepale, custom wako palepale, kama huko nje wanaweza sisi tunashnwaje? simpo, wanaopnaga namna ya utowaji mizigo pale eyapoti, wanafanya makusudi. Wanajuwa kinachoendelea, lakini hawataki kubadili mfumo ili waneemeke kwa rushwa na kuwaumiza wananchi kwa wizi wao.

  JMK, badilisha wote pale, chukuwa maofisa ushuru, toka nje ya Tanzania uwaweke pale. wa Tanzania tu wajinga wa rushwa na kutakautajiri wa haraka kiharamu! tunauwa na kuharibu kila sehemu tunayowekwa. au Simpo, weka sheria ya kupigwa ya kupigwa risasi hadharani wala rushwa, kama China. Ukisha wa banjuwa risasi maofisa wa TRa wawili wa Tatu, wa kwanza wawe wao kwani ndio wanaopokea mishahara mikubwa kuliko idara yoyote ya serikali. Halfu tuone wataendelea na rushwa? wakiendelea kunyuga wengine risasi bila huruma. La sivy, tutabali kulalama tu.

  Au iundwe skwadi ya siri, inalamba wala rushwa risasi bila kupelekwa mahakamani wala kujulikana nani kawalamba risasi, wanaachiwa karatasi ya makosa yao wanaposhughulikiwa, uone kama kuna hata raia atalalamika. Atakae lalamika na yeye ndio ujuwe katika hao hao, mkunyuge na yeye risasi. Simpo!
   
 2. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  nishagombana na mtu pale dahaco (swiss port) airport ya zamani. usipokuwa mkorofi na vitisho wao ndio watakutisha.
  nilitoa kamera yangu mfukoni nikampiga picha jamaa na nikamwambia asipofanya kazi yangu chamoto atakiona.
  aslishughulika mbio mbio akawa anataka ni delete picha zake
   
 3. F

  FOE Member

  #3
  Oct 2, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ungepest walau picha moja hapa tujilizishe na ukweli wa hiki unachokisema.
   
 4. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Leo hata Dar es salaam kaona jambo! mhh, kulikoni?

  Ndio mfumo wetu Dar es salaam, au hukujua kuwa DAR ni tambarare?
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hapo juu kwenye ubluu - ametembelea Bandari na kuwa na majina mbona mpaka leo rushwa iko vile vile. Nguvu na ari mpya ilikuwa kauli mbiu ya kupata 80% ya kura. Hayo mawazo ya kuleta ma-expert wa kuendesha mambo nchini mwetu yasiishie hapo TRA pekee, ni bora waletwe hata Serikalini na Mahakamani. Nchi hii ni punda aliyegoma kwenda kisimani. Na ukileta mambo ya Uchina ya kupiga watu risasi, huchelewi kujikuta risasi zinamrudia yeye kwa maovu ambayo hayajashughulikiwa mpaka leo, hata baada ya evidence zote kufichuliwa na kuwekwa mikononi mwake.

  DSM, leo umenifurahisha sana. Hii post yako leo nitaifanya iwe reference yangu kuu kwenye mabandiko yako yaliyo mengi dhidi ya yale tunayo lalamikia na kuhoji!
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,533
  Likes Received: 81,946
  Trophy Points: 280
  Aisee, umenifurahisha sana Semilong. Nadhani huu utaratibu wa kuwapiga picha wale mafisadi pale TRA ni mzuri sana na utawaogopesha wengi na hatimaye kuikimbia rushwa.
   
 7. M

  Mchili JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Takukuru nao wamefanya office ni mradi wao binafsi. Wakijua una issue badala ya kutumia sheria zilizopo, wanakufuata wakitaka kitu kidogo ili wasikushughulikie. Unajua vijana wa TRA wana visenti vya kuwagawia hivyo pale ni biashara sasa.
   
 8. F

  FOE Member

  #8
  Oct 2, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unajua kama wahusika wameshindwa kazi ni heri jamii ibuni solution za kudumu kama hiyo digital solution ya mwana Semilong.
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  Njaa kama ziko ofisi ya juu kabisa ya nchi, airport inanini tofauti?Kama viongozi wa juu wanababaisha basi lazima tujue hata wale wadogo nao watakuwa hivyo hivyo.Tatizo sio la airport ya Dar. Tatizo ni la mfumo mzima toka juu kabisa.Ukitaka kujua kuna balaa kushughulikia mizigo nenda border yoyote na kamzigo chako uone usumbufu utakaokutana nao.
   
 10. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Hata mimi nimeshangaa ndugu yangu, Dar Es Salaam of all people, kumbe na yeye yamemkuta? Mwanzo nilihisi kuna mtu kaiba password yake, kama sivyo, itabidi akubali tunayoyalalamikia kila siku hapa na yeye siku zote akitetea huo uozo.
   
 11. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  yaani wanachosha unatamani umlabue mtu bao la uso kwanza, na ukijifanya mjuzi utaki kutoa kitu kidogo basi watafanya namna siku iende wakukomoe na storage charge.

  Kwa kweli hiyo dizaini ya china labda ifikiriwe kwa muda mchache kuwapa adamu hawa watu.
   
 12. K

  Koba JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Bado nafikiria dawa kama raia nisiye na influence/power yeyote ili kupambana na hawa washenzi!
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Duh! unamoyo kweli, wawili watatu kama wewe mabo yatanyooka!
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hii michaga iliyojazwa pale ndio inatuharibia nchi, kama unabisha uliza TRA ina wachaga wangapi maofisa forodha, hala oanisha na makabila yaliyobaki. Utanambia.
   
Loading...