Jerry silaa anatafuta kiki tu ukuona takukuru, kazi yao nini umefeli

waziri2020

Senior Member
May 31, 2019
188
443
Kukataa rushwa kwa mwanachama wa ccm ni jambo jipya , ni maajabu na jambo lisiloaminika , Hata Dr Magufuli aliyejaribu kuwadanganya wanaccm wenzie kwamba hachukui rushwa , jambo hili lilimshinda .

Baada ya mdogo wa Rostam Aziz kukamatwa na shehena ya Meno ya Tembo na mamia ya bunduki za kivita zilizotumika kudungulia Tembo hao , Rostam Aziz aliingilia kati na kumhonga Magufuli na chama chake TV ya Channel 10 , hatimaye mdogo wake akaachiwa huru , ikimbukwe kwamba huyu Magufuli ndiye alisifiwa kwamba hachukui rushwa , Nani amesahau jambo hili ?

Sasa Kabla ya kutaka sifa tunaomba Jerry Silaa aweke ushahidi mezani ili tuthibitishe kwamba kakataa rushwa ndogo ya tsh mil 300 .

Labda kwa Wageni au labda na wale wasahaulifu ni kwamba , huyu Jerry silaa anayejinadi leo kukataa rushwa , ndio muasisi wa uporaji wa Masufuria yenye chakula ya Mama lishe alipokuwa Meya wa Ilala , natumai hakuna aliyesahau dhuluma ile , Hivi hata kwa akili ya kuvukia barabara , aliyepora masufulia ya ubwabwa ndondo wa masikini , anawezaje kukataa rushwa ya matajiri ya mil 300 ?

Wanazengo wanasema kama waziri aliona dalili za rushwa siangeita takukuru waweze kusimamia hilo au silaa anajitafutia umaharufu wa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025 kwa sababu aingii akilini akimbilie vyombo vya habari alafu haach vyombo vya kupambana na rushwa takukuru kufanya kazi yake

Ikibainika sio kweli ni kiki tu jerry silaa afunguliwe kesi ya uzalilishaji ( defametion )kwa sababu ametia aibu kwa mwekezaji wa ndani .

Wananchi hawa wanasiasa wasitufanye ndondocha daraja la kuwapitisha ktk uchaguzi mkuuj
1.jpg
 
Wananchi hawa wanasiasa wasitufanye ndondocha daraja la kuwapitisha ktk uchaguzi mkuujView attachment 2851418
Kama unabisha tupinge, silaa kachukua mil 300 na baada ya mwezi mmoja kituo kitafunguliwa kama kawa.
 
umeandika point nzur sna lkn nin hazima yako kuhamasisha viongoz wa ccmu kuendelea kula rushw ? kwang naamin hata kama kaongea uongo ila ilibid atumike kuhamasisha viongoz wengine waige alichofany na sio kumshambulia ,labda kama ww ni miongon mwa waliopeleka hongo kwake ndo mmekuja mshambulia huku

ovaa.....
 
Back
Top Bottom