chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,132
- 22,554
Kalafughi = kalafudhi.
And you know what? I wont judge you for that typo!
chawa chawa chikuizi bado mnakula wale wadudu korofi?
Kalafughi = kalafudhi.
And you know what? I wont judge you for that typo!
chawa chawa chikuizi bado mnakula wale wadudu korofi?
mko vizuri
anamuongelea yule jamaa anayekupumulia kesi zimeshaanza kuunguruma.......... mtapumuliana selo sasaUnaongelea akina nani? Na juu ya nini haswa?
Mwenye kujua ramani ya ikulu (masterplan) naomba anipe tafadhali.
Tumechoka!
Bashitte ni ukoo mzimaau ni kuaribia wale wengineJe ni sahihi kwa Takukuru kumwita na kumuhoji Paul Christian mtangazaji redio moja mkoani Tabora, badala ya Daud Albert Bashite mkuu wa mkoa wa Dsm ambaye ndiye mshukiwa wa vyeti feki.!?
Hugo huyo....Usikute anamsaka yule Paul ambaye ni mtangazaji
Je ni sahihi kwa Takukuru kumwita na kumuhoji Paul Christian mtangazaji redio moja mkoani Tabora, badala ya Daud Albert Bashite mkuu wa mkoa wa Dsm ambaye ndiye mshukiwa wa vyeti feki.!?
Hapo ndo watu watamkubali JPM, yeye alishatoa msamaha hadi tarehe 15 may wenye vyeti feki waondoke. Kaona Bashite hajaondoka na ni mteule wake kaagiza vyombo viwasake na ili iwe rahisi Bashite kutimua mbio kaona amkamate mwenye cheti ili Bashite aitwe mahakamani kama shahidi tuone kama ataenda kusema yeye bashite ndo paul christian halali. JPM tingatinga.Masikini huyu kijana I know him!!!
Ni mtangazaji wa station moja ya radio.
Yani cheti chake halafu awe na makosa.
Nadhani sasa tutapata mchanga wa dhahabu shaka yangu ni haki kutotendekaHii ni kwa mujibu wa gazeti Mtanzania la leo May 18.
Nakumbuka huyu ndiye jina na vyeti vyake vinahusishwa na Mkuu wa mkoa mmoja hapa nchini.
Ngoja tuone maendeleo yake!
Mmmmnnhhh....mbona huko mawizarani wakikuta cheti kinatumiwa na mtu zaidi ya mmoja hawawaiti takukuru...???!!! na kuna case nyingi tu ...wanawaambia wahusika walete original...ambaye si chake anaingia mtini...wala hakuna anayemtafuta awape story alikipataje...na mmiliki halali kuulizwa kilifikaje kwa x....Hapana mkuu, huyo Paul Christian anaingia katika sakata hilo kwa kushirikiana na mtuhumiwa kupeana vyeti au cheti. Mtu akipatikana anatumia cheti au vyeti vyako, yeye ataingia kwenye hatia na wewe pia mwenye vyeti utaingia kwenye hatia. Jinsi ilivyo inaonekana inakua treated kama RUSHWA.