TAKUKURU na Uhamiaji, Mchunguzeni Jitendra Shechwat wa Kiwanda cha Pepsi(SBC LTD). Anatuhumiwa kwa Rushwa na Unyanyasaji

Hataki kutoa mgao ? Shida nini , atoe mgao mambo yake mepesi 😿😿😿
Atoe mgao kwa Nani? Kwa wajinga?
Kuna vizee viko hapa Pepsi viko na roho mbaya, kuonea WASWAHILI wenzao, kufukuza kazi watu huku gabachori linapiga pesa kiulaiiini bila kutia saini popote.
 
Hawa wapuuzi pumbavu sana sana,wanajikutaga miungu watu siwapendi kabisa.
Kuna mshenzi mmoja nilitaka kumkata makofi pale Viktoria(Khana khazana)
ashukuru wamasai.
Nilifanya kazi ya uchunguzi kimkakati,
kuja kupata ukweli kuna wahindi wenzie 20 anawafuga nyuma ya restaurant.
Ndio kawaajiri km wapishi(hawana vibali)
Wale utawaona jioni tu kisha wanapotea.
Yule mshenzi wahudumu chakula chote makombo anakusanya anahifadhi.
Mwisho wa siku anarudisha kwa hao wapishi wanakipimp tena anakula na familia yake.
Yaani ni mengi sana kiasi siku kamnyanyasa mfanyakazi namuona ndo nikataka kutembeza mkono.
Ila hatua zilifuatwa nafkiri walikamatwa na jamaa alifukuzwa nchini.
Labda km alirudi badae.
 
Ethiopia wale kabila la oromia walikua wanawapiga risasi yaan ufungue kiwanda usiwaajiri wazawa hao ma-experts wako wote watakua wanawindwa na risasi huko mtaani

Ndo sababu nikasema nikutembeza kichapo tu mkuu!!! Nikisema ivi wapo watu huko juu wengine waliandika nonsense Ila nikawapotezea maana sizani kama wanajua uchungu wa dhuluma wanayo tendewa hawa ndugu zetu..... na mbaya zaidi Hakuna mtetezi kama serikali inajificha na haishughuliki na matatizo ya watu wake Hakuna zaidi yakuwachapa hao wahindi!!!!

Nina kampuni ya ujenzi nilikuwa na project moja ya muhindi huko daslamu upanga muda kidogo..... muhindi kunilipa anaeleta zarau kesho zikawa nyingi na mimi natoka mkoa kuja kudai changu!!!! Hatokaa anisahau yule bwege nilimdumbukiza kwenye kisima cha maji kilichokuwa mbele yetu!!!! Na nilimwambia utafia uko mimi nasepa na nitarudi kuangalia kama Umekufa au laah nikasepa nimefika zangu mkoa kanipigia simu nitume account alipe pesa zangu!!!!

Hawa jamaa sio waungwana Kabisa sometimes unajichukulia sheria mkononi Ndio ni kosa lakini ukijaribu kutafuta haki yako kwa njia ya amani huwezi kuwashinda maana wao wanahonga ili wewe upuuzwe..... hao jamaa kama wananyanyaswa na wao wamnyanyase nafikiri hii Ndio Sawa....
 
Waziri mwenye dhamana na uwekezaji, mambo ya ndani, Kazi na ajira ipo shida kubwa wa wageni wanaokuja kufanya kazi hapa nchini kuleta dharau,ubabe,uonevu,ubaguzi na matusi kwa wazawa.

Juzijuzi ameshuka shetani tena ameamua kuongeza muda wa vibali vya kazi kutoka miaka 8 hadi 11. Tunaomba mfuatilie succession plan of employment kwa wazawa kama mgeni kaja basi aje na vyeti na qualification na ikiwemo athibitishwe na bodi husika kampuni haiwezi kuleta Finance manager au controller ambaye NBAA haijathibitisha uwezo wake wa uhasibu.

Hali kadhalika na fani zingine haiingii akilini anapewa kibali cha kazi Customer service manager, wageni wanaokuja fani za Procurement na Supply chain wanatakiwa wawe wabobezi na wathibitishwe na mamlaka ya ununuzi na ugavi.

Kuna kampuni hizi zinakamata wakenya na waganda matapeli hawana sifa zinawapa vyeo bila mamlaka husika kufanya uhakiki.Tunahitaji wageni wataalamu sio wageni waganga njaa kuja kumaliza ajira za wazawa. Hii ilitakiwa iwe ajenda kabisa kwa tatizo lililopo la wazawa kukosa ajira lakini serikalini hakuna hata anayejua hili tatizo lipo na linaendelea kukua.

Poleni sana pepsi huyo mnyasa atawasumbua sana yuko kulinda maslahi ya mabosi zake wahindi. Ila mamlaka zingekuwa zinatenda kwa weledi huyu mhindi ni wa kupigwa PI anaondoka anarudi pune au chennai. Hata nguo hachukui.
 
Ni kweli wahindi ni watu wabaguzi na wenye roho mbaya sana lakini pia na sisi Watanzania hatutaki kufanya kazi ni wababaishaji tunataka ujanja ujanja kuiba na kufanya visingizio vya ajabu hilo ni gonjwa tunatakiwa kuacha...

Mfano Ukienda mgahawa kula Anaekusave anakuandikia bili kubwa anazidisha hata elf 12 ukimuuliza anajifanya alikosea( wizi tu)

Madukani unakuta anaeuza anakuongezea bei zaidi mana mwenye duka sometimes hayupo.

Mafundi Garage atakuambia gari iliyoua betri imeua na altonator kumbe uongo ukimuachia tu anakuambia tununue betri halafu anakuambia spea ya altonator laki...

Madereva wa magari makubwa wanaiba sana mafuta na mizigo ya ndani na nchi za Nje tunawaona mabarabarani wanavyoiba mafuta yaani kila sehemu kila sekta watanzania wana shida tubadilke jameni tuamke tuache huu ujanja ujanja wa kipuuzi hautusaidii..

Mafundi ujenzi ataiba cement ataiba nondo yaani ni janga kila sehemu...
Nurse anaomba kazi mwenyewe ukimuuliza jambo agakujibu mpaka ushangae yaani tuna matatizo sana sisi...
 
JPM alifukuza wawekezaji, mama kafungua nchi wawekezaji wamerudi kedekede.....kwa sauti ya kamanda mmoja ambaye tangu ahitimu kozi ya procurement pale Kampala College anaishi kwa shemeji yake anayemuoa dada yake!
 
So, kwa nini hao wenye kiwanda, ambao ni wabongo, wanaajiri wahindi? Tujiulize kwa nn?
Mwenye kiwanda sio Mtanzania. Pili, wahindi wana kawaida ya kuitana. Ukileta Expatriate mmoja let say katika production. Basi atahakikisha kuna wenzio kila idara
 
Kweli mkuu, huyu alikuwa kazi yake ni kuua sekta zote binafsi. Nikikumbuka ile kauli ya kuwa atahakikisha matajiri wanaishi kama mashetani dah najiuliza alikuwa anampango gani na watanzania, mara akaanza kuwaita wanyonge na wao wanabinuka tu
Nafikiri hujawai kufanya kazi na hawa jamaa ama interaction yako na wao ni ndogo, kujua tatizo la wahindi na warabu ni mpaka ufanye nao kazi ama uwe karibu nao, jamaa ni wanyanyasaji sana na kichwani ni wachache wako vizuri, watu wanavolalamikia kuwa wanazingua ni kweli wanazingua,
Ukweli Magu alikuwa na speed nzuri kuwadhibiti hawa wageni, Magu aliweka sheria(Microfinance Act) kwenye kampuni ya fedha hawatakiwi kuzidi watano kwa wakati mmoja na kama wana huo uhitaji basi watapata kibali cha BOT, baada tu ya mzee kufariki, pitia uone kama sheria hii inafanya kazi

Si ubaguzi kwa watu kulalamika bali wageni ndio wabaguzi sana!!!!
 
Nafikiri hujawai kufanya kazi na hawa jamaa ama interaction yako na wao ni ndogo, kujua tatizo la wahindi na warabu ni mpaka ufanye nao kazi ama uwe karibu nao, jamaa ni wanyanyasaji sana na kichwani ni wachache wako vizuri, watu wanavolalamikia kuwa wanazingua ni kweli wanazingua,
Ukweli Magu alikuwa na speed nzuri kuwadhibiti hawa wageni, Magu aliweka sheria(Microfinance Act) kwenye kampuni ya fedha hawatakiwi kuzidi watano kwa wakati mmoja na kama wana huo uhitaji basi watapata kibali cha BOT, baada tu ya mzee kufariki, pitia uone kama sheria hii inafanya kazi

Si ubaguzi kwa watu kulalamika bali wageni ndio wabaguzi sana!!!!
Unaweza kuwa uko sahihi mkuu, ila nimeshafanya kazi nao lakini nikiwa upande tofauti, najua kuwa wananyanyasa sana wafanyakazi wao. Hata kuna siku niliwahi mfokea mmoja kwa ujinga kama huo. Ila pia Jiwe alikuwa mwizi, dikteta na muuaji.
 
Sijawahi na sitowahi katika maisha yangu kukubali kuwa chini ya mwekezaji Muhindi bora niishi bila kazi maana hiiiiii
 
Kwanza huo ni wivu Kwa wawekezaji. Anzisha Wewe biashara yako ugawe mishahara hovyo. Acha hizo Wewe
Watanzania ni wezi na wavivu nna ushahidi wameshaua mradi wangu mara mbili. Ukishakubali kuajiriwa sahahu uhuru na kutoboa labda uwe mwizi.
 
Tatizo la watanzania tunapenda majungu sana sehemu za kazi inafika wakati hata kama ni kweli kuna malalamiko inakua ni ngumu kuamini.
 
SBC ni franchise na itakua mhindi ndo aliyepewa hio right na PepsiCo ya marekani kampuni mama
Sii mhindi.
Ni mlebanon.
Ndio mwenye Sbc Tanzania na Nigeria.
Mwenyewe anaishi uingereza hapa Tz show wanasimamia wahindi wakiwatumia FOTI na George.
Foti na George wako kuhakikisha wahindi hawabughuthiwi na serikali halafu nao wanatupiwa mfupa hapa na pale wahindi wakishakula nyama.
 
Ndani ya Kampuni inayotengeza Vinywaji baridi vya Pepsi(SBC LTD). Kumekuwa na Ubaguzi, Unyanyasaji na Uonevu wa kila aina kutoka kwa Wenzetu wa India.

Hivyo tunaomba TAKUKURU, Uhamiaji na Wizara ya Kazi ilifnayie kazi.

Wafanyakazi Walishawahi kumuandikia Barua Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa.

Jitendra Shechwat Sign ndo analalamikiwa sana sababu anajihisi kwamba ana uwezo wa kifedha wa kufanya chochote na ni rafiki Mkubwa wa Watendaji Serikali.

Jitendra alifukuzwa nchini na Serikali mwaka jana 2021 baada ya vibali vyake vya kufanya kazi/kuishi kumalizika. Lakini baada ya Kifo Magufuli, Wakabadilisha mafile kiujanjaujanja ili asionekane muda wa kibali cha kazi uliiaha, akarudi mwaka huo huo na kupata kibali kingine kilichosainiwa na Waziri mwenye dhamana(Hii ndo ichunguzwe pia).

Nawashauri TAKUKURU waanze kumhoji Alex Ngwebe Foti Nyirenda sababu ndo mwenye ukaribu na Watendaji wa Serikali. Hata hawa Wageni wakiitwa wanamtuma yeye kesi inaisha.

Bwana Jitendra kama akifanikiwa kumaliza kibali chake cha kazi kwa sasa atakuwa amefanya kazi miaka 11 katika kazi ya procurement lakini anajiita general manager Planning.

Tangu amerudi amekuwa mnyanyasasi mkubwa kwa Wazawa hasa wafanyakazi wa Kitanzania kwa kushirikiana na mhindi mwenye asili ya Tanzania aitwae Sachin.

Pia amehamisha kazi zilizokuwa zikifanywa na kampuni za wazawa na kuzipeleka kwa kampuni ya kihindi (Ralcot)

Kampuni zilizonyang'anywa kazi ni MC Juro, Isumba Maritime, PMM ICD, DICD zote za Watanzania ambazo zilikuwa zinamikataba ya kazi.

Kazi zote wamepewa ICD moja tu ya HESU investment kwa kushirikiana na Ralcot.

Swali ni;

Kwanini Wageni wapewe kazi zinazoweza kifanywa na Watanzania?

Mtaani watu hawana ajira lakini Wageni kutoka India Wamejazana Viwandani kufanya kazi ambazo Watanzania wanaweza fanya.

Mwaka jana Gazeti la The Guardian walimhoji imekuaje yupo Nchini akadai yeye si Msemaji.
View attachment 2154923
Pia hii ni Barua Wafanyakazi Waliandikia TAKUKURU ambayo haikujibiwa wala kufanyiwa kazi
View attachment 2154925View attachment 2154926

View attachment 2154929
Pia unaweza soma kwa kina wanaolalamikiwa hapa. Japo imeandikwa SIRI, hakuna Siri yoyote kwenye jambo Ovu, inatakiwa iwe wazi kila mtu aone.
View attachment 2154939View attachment 2154940
Tunaomba Vyombo vya Serikali mfanyie kazi.

Ikibidi pitisheni Sensa kwenye haya Makampuni ya Kigeni tujue wapo wangapi na wanafanya nini.

Uhamiaji fanyeni kama Mlivyofanya CI GROUP.

Soma;

1). Serikali Yaombwa Kuingilia Kati Unyanyasaji Kiwanda cha SBC Tanzania, Uongozi Wagoma Kufafanua

2). Bomu la Kampuni ya Wahindi yaanikwa

3). Wafanyakazi CI-Group walipa faini ya Sh 52 milioni
Takukuru?

Hakuna kitu pale
 
Back
Top Bottom