TAKUKURU mmenidhalilisha na kunisingizia

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,489
Reaction score
5,251
Msg yenu mliyonitumia leo kwenye simu yangu yangu ya mkononi imenidhalilisha na kunisononesha sana kwa kuwa mmenisingizia kuwa mimi ni mtoaji na mpokeaji wa rushwa, na MTANIBAMBA.
Kwa kweli hii meseji ni ya kijinga sana na imeudhalilisha utu wangu kwani sijawahi kuyatenda yote hayo mawili, kupokea na kutoa rushwa.
Naomba muache mara moja kusambaza kwa watu msio wafahamu huo ujumbe wenu.
Kama mko katika harakati ya kukemea na kuzuia rushwa, jaribuni kutumia maneno ya kiungwana na yaliyo polite, ambayo hayasingii mtu, wala kumuharibia credibility yake kwenye society.
Naamini mmenielewa na kosa hilo hamtolirudia kwa mtu mwingine.
 
Hivi hakuna utaratibu/upenyo wa kuyashtaki makampuni ya simu kwa kutoa namba zetu TAKUKURU bila idhini yetu. Simu si ni private property? Maana bila kutumia makampuni ya simu TAKUKURU wasingeweza kupata hizi namba.
 
Vp umeasahau kwmba kampuni za simu zinavuna mapesa kutokana na hizi sms campaigns? Hiyo ndiyo maana ya mteja!
 
Tuhuma nzito sana hizo kwanini wasingojee wakunase na ushahidi badala ya kukushtua ili ujichunge ? Waache kutisha raia wema bila ya kuwa na ushahidi hizo ni mbinu za kitoto mno.
 
Msg yenu mliyonitumia leo kwenye simu yangu yangu ya mkononi imenidhalilisha na kunisononesha sana kwa kuwa mmenisingizia kuwa mimi ni mtoaji na mpokeaji wa rushwa, na MTANIBAMBA.
Kwa kweli hii meseji ni ya kijinga sana na imeudhalilisha utu wangu kwani sijawahi kuyatenda yote hayo mawili, kupokea na kutoa rushwa.
Naomba muache mara moja kusambaza kwa watu msio wafahamu huo ujumbe wenu.
Kama mko katika harakati ya kukemea na kuzuia rushwa, jaribuni kutumia maneno ya kiungwana na yaliyo polite, ambayo hayasingii mtu, wala kumuharibia credibility yake kwenye society.
Naamini mmenielewa na kosa hilo hamtolirudia kwa mtu mwingine.

Kaujumbe kenyewe kalikuwa haka? "KILA UNAPOTOA AU KUPOKEA RUSHWA UJUE UNAONWA. KILICHOBAKI NI KUBAMBWA NA KUADHIRIKA. ACHA RUSHWA!" Kaazi kweli kweli!
 
hizo namba kwani huwa wanapewa? ni randomly tu
 
mie mwenyewe wameniboa sana
eti msg inasema nilisikia hasira mie kha :A S-danger:
"KILA UNAPOTOA AU KUPOKEA RUSHWA UJUE UNAONWA .KILICHOBAKI NI KUBAMBWA NA KUADHIRIKA .ACHA RUSHWA !
 
FL lazima ukasirike................hhehe @unaonwa
 
Yaani huu ni unyani, unakurupuka tu na kuanza kusema nimekuona ukipokea rushwa.
HUU NI UDHALIMU
 
Zile msg za "kushinda MKOKO, Hyundai i10" mbona mlikuwa kimya? Au kwa sababu hizo zina "takrima" ndani yake?
 
Kaujumbe kenyewe kalikuwa haka? "KILA UNAPOTOA AU KUPOKEA RUSHWA UJUE UNAONWA. KILICHOBAKI NI KUBAMBWA NA KUADHIRIKA. ACHA RUSHWA!" Kaazi kweli kweli!
Hiyo ni njia ya takukuru kula hela za serikali.Sasa hivho kimeseji kitasaidia nini kwenye mapambano dhidi ya rushwa? Ukizingatia na wao TAKUKURU ndio walaji wa rushwa wakubwa vilevile.mbona tuna safari ndefu bado jamani?????????!!!
 
mie mwenyewe wameniboa sana
eti msg inasema nilisikia hasira mie kha :A S-danger:
"KILA UNAPOTOA AU KUPOKEA RUSHWA UJUE UNAONWA .KILICHOBAKI NI KUBAMBWA NA KUADHIRIKA .ACHA RUSHWA !

Kampuni ya simu kumpatia third party namba ya simu ya mteja wake ni ukiukaji wa haki za binadamu hasa katika upande wa privacy. Kawaida huwa third party anaomba access kwa mtumiaji kabla ya kuanza kumtumia msg, vinginevyo njia pekee ni kutumia media kama radio na TV kwa campaign kama hizi. Ingekuwa nchi za watu wanaoheshimu sheria hii ingewa-cost sana makampuni ya simu kwani watu wangewashitaki kudai fidia kwa usmbufu walioupata.
 
Msg yenu mliyonitumia leo kwenye simu yangu yangu ya mkononi imenidhalilisha na kunisononesha sana kwa kuwa mmenisingizia kuwa mimi ni mtoaji na mpokeaji wa rushwa, na MTANIBAMBA.
Kwa kweli hii meseji ni ya kijinga sana na imeudhalilisha utu wangu kwani sijawahi kuyatenda yote hayo mawili, kupokea na kutoa rushwa.
Naomba muache mara moja kusambaza kwa watu msio wafahamu huo ujumbe wenu.
Kama mko katika harakati ya kukemea na kuzuia rushwa, jaribuni kutumia maneno ya kiungwana na yaliyo polite, ambayo hayasingii mtu, wala kumuharibia credibility yake kwenye society.
Naamini mmenielewa na kosa hilo hamtolirudia kwa mtu mwingine.

Nimfadhaishwa sana nidharilishwa sana nifedhehesha sana nitukana sana na nimeonewa sana katika hili wamehutubia nchi nzima nakusema kakakiiza amefanya hiki wakati mimi sijafanya hivyo!!!!There have wish which i am going to grand!!!.....:mad2:TAKUKURU
 
Hiyo ni njia ya takukuru kula hela za serikali.Sasa hivho kimeseji kitasaidia nini kwenye mapambano dhidi ya rushwa? Ukizingatia na wao TAKUKURU ndio walaji wa rushwa wakubwa vilevile.mbona tuna safari ndefu bado jamani?????????!!!

Tenda yenyewe ya kutuma hizo sms rushwa tupu
 
Ulijuaje imetumwa na TAKUKURU? Pengine ni rafiki yako alikuwa anakutishia tu. Sidhani kama utaratibu wa ufanyaji kazi wa TAKUKURU upo hivyo. Ni vema ukafuatilia kwa karibu chanzo cha hiyo message.
 
Kaujumbe kenyewe kalikuwa haka? "KILA UNAPOTOA AU KUPOKEA RUSHWA UJUE UNAONWA. KILICHOBAKI NI KUBAMBWA NA KUADHIRIKA. ACHA RUSHWA!" Kaazi kweli kweli!

I guess hii text wamejitumia na wao maana mmhhh .. :confused2:
 
mie mwenyewe wameniboa sana
eti msg inasema nilisikia hasira mie kha :A S-danger:
"KILA UNAPOTOA AU KUPOKEA RUSHWA UJUE UNAONWA .KILICHOBAKI NI KUBAMBWA NA KUADHIRIKA .ACHA RUSHWA !
mbona watoaji wenyewe na wapokeaji wenyewe hawa shikwi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom