TAKUKURU; Lowassa Kawakosea nini?

Mzee wa harambee(Edward Lowassa) v/s CCM +TAKUKURU=??!Kweli hawa watu wa ccm wameshachanganyikiwa.
 
Mleta hoja ana jambo linalojadilika lakini kwa kuwa anayeonewa ana mushkeli ndio watu wote wako dhidi yake. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli Takukuru haifanyi kazi kama ambavyo inapaswa kufanywa wako remote controlled.
 
Unamhurumia SHETANI wewe vipi una matatizo ya kichwa?

Jamani wana JF, tuache chuki binafsi na tutake haki itawale. Kutumia dola isivyopasa dhidi ya kundi au mtu fulani ni kosa kubwa.
Kama anayeandamwa ni Shetani, huyo anayemuandama ana haki gani? Hapo wote ni Mashetani ambao vita vyao ni kujijengea ufalme ulioparaganyika.
 
el kwl n overweight,hakuna ck inapta bla kujadiliwa hapa jf,inaonekana anapendwa hee?
 
Mkuu its just a matter of time kabla ya huyu SHETANI mamvi hajarudishwa ndani ya chupa.
One shetani less in society is a win for all, usilaumu TAKUKURU hao ni watu wa kuagizwa tu na ndio kazi yao, lala mbele na aliyewatuma.
Hata hivyo kama ukitenda kosa, kinga yako haiwezi kuwa tulikuwa wengi, angalia usafi wa matendo na roho yako!!!
 
Takukuru kama kweli wanania ya kukamata wala rushwa nazani matrafiki wangeisha ni rahisi kuwapata hawajifichi inakuwaje leo wote wameamia arumeru wakati huko walikotoka watu wanapokea rushwa waziwazi; unyesheni mfano mzuri.
 
waacheni wacheze na mamvi, akianza kuwarudi yeye watabweka,mixa anamuita mwanae mstaafu wa Igunga patanuka had raha... sis kwetu full shangwe
 
Lowasa ni mwanaume wa shoka, JK anawatumia Taasisi ya kupamba rushwa, Lowasa idara ya Uhasama wa Taifa iko mikononi mwake, unadhani hapa ni nani Jogoo?
 
Kwahiyo nyie viazi mlitaka wasikamatwe hao watu wa EL acheni ufukunyuku na ushiranga mijitu mizima ovyooooo wambea wakubwa mlaanike
 
Kwahiyo nyie viazi mlitaka wasikamatwe hao watu wa EL acheni ufukunyuku na ushiranga mijitu mizima ovyooooo wambea wakubwa mlaanike
Tunataka wakamatwe wote, wa EL, wa Baba Mwanaasha, Mahakimu, Matrafiki, na mimi hapa kwani huwa nawapa rushwa ya buku mbili mbili trafic kila ninapovunja sheria

Kama huko Tanzania hapa utagundua toka TAKUKURU imeanzisha haijawahi kukamata MTOA RUSHWA NYINGINE zaidi ya mtoa rushwa ya uchaguzi, tena upande mmoja

Mwigulu Nchemba amegawa rushwa ngapi toka Igunga hadi uzini, alipiga hadi rushwa ya ngono kwa kula mke wa kada mwenzie Igunga lakini bado anadunda tu mitaani ndani ya V8 na analala Mount Meru Hotel kwa kodi zetu.

Hoja yangu sio Lowassa ana haki ya kutoa rushwa, ila asitolewe kafara kwa kuwa wametofautiana kimsimamo huku watoa rushwa wa upande wao wanadunda tu mitaani. Kule Igunga CDM waliwaita sana TAKUKURU kukamata rushwa ya waziwazi ya CCM lakini hawakukanyaga, na hata baada ya mgombea wa CCM kupatikana hautawasikia tena hadi 2015
 
enyie wabongo acheni majungu ya kina sita, hv richmond unaweza kucompare na Iptl? msikaririshwe siasa uchwara. mnaboa mnaposoma magazeti kama misahafu.
 

Mkuu kwa maneno mengine ni kama unasema: "Shetani amemtumwa kumkamata Shetani mwenzake." Mpaka hapo ufalme wa mashetani hao umefitinika. Mashetani hao wamezeeka:Muda si mrefu watageuka kuwa malaika!
 
Kwahiyo nyie viazi mlitaka wasikamatwe hao watu wa EL acheni ufukunyuku na ushiranga mijitu mizima ovyooooo wambea wakubwa mlaanike
Unaweza kufit zaidi pale kwenye Jahazi la Mzee Yusuph,.....
 
Sina imani na TAKUKURU hata tone. Isitoshe inawajibika kwa rais anayeogopa gharama za uongozi. Wanaoshughulikiwa ni walala hoi na wale ambao mkuu wao ameamua kulipiza kisasi.
 
Inawezekana Lowassa akawa hapendwi hapa! Lakini haileti akili kumkandamizi kutumia public authority kwa ugomvi binafsi. Kama TAKUKURU inamchunguza Lowassa basi iwe wazikuwa inamchunguza na sio kufanya kama wafanyavyo sasa. Kesho itatumika kumkandamiza na mwingne na mwingne! Country cant be run this way
 

ka! ...
 
You have 34 Seconds to call ANY NETWORK in TZ valid untill 02/03/2012.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…