Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Nimetumwa na nia ya kuona haki inatendeka. Mbona tunaowapa rushwa trafic hatukamatwi kama TAKUKURU wana dhamira ya kukamata rushwa?Umetumwaa!
Nimetumwa na nia ya kuona haki inatendeka. Mbona tunaowapa rushwa trafic hatukamatwi kama TAKUKURU wana dhamira ya kukamata rushwa?
Haki ya Dowans na bei ya umeme! au hujui chanzo? we vipi!Nimetumwa na nia ya kuona haki inatendeka. Mbona tunaowapa rushwa trafic hatukamatwi kama TAKUKURU wana dhamira ya kukamata rushwa?
Nimetumwa na nia ya kuona haki inatendeka. Mbona tunaowapa rushwa trafic hatukamatwi kama TAKUKURU wana dhamira ya kukamata rushwa?
Bei ya umeme inaumiza sana kwa kweli...Haki ya Dowans na bei ya umeme! au hujui chanzo? we vipi!
Ukimkandamiza shetani mmoja huku unachekacheka na mashetani wengine na kuwaruhusu waitumie taasisi nyeti kama TAKUKURU kwa maslahi yao binafsi tena ya kisiasa kamwe hutaleta ukombozi kwa nchi yako. Hii taasisi inatakiwa kuwa OBJECTIVE. Hizi subjectivity zinasababisha kikundi cha wateule wachache (MASHETANI) kuzidi kutunyonya huku wanalindwaUnamhurumia SHETANI wewe vipi una matatizo ya kichwa?
Mwaka mzima huu hamjakamata rushwa hata moja hadi uchaguzi wa Arumeru ulipowadia. Cha kushangaza mko BIAS hadi kila mtu anaona kuwa mmetumwa kukomalia upande mmoja. Kitendo cha kuwakamata watu walio karibu na Lowassa na kuvamia kituo chake cha redio huku kambi ya Sarakikya haiguswi kinaleta picha kuwa TAKUKURU ni mtaji wa kisiasa wa watu fulani. Uchaguzi wa 2010 mliiandamana kambi ya Sitta na mkamkamata mkewe na kumbambikizia kesi. Wakati huo Sitta na Baba M hawakuwa wanaiva, na wakati huu ambapo inaonekana Lowasa na Baba M hawaivi nyie mnawanyanyasa watu wake. Inatufanya sisi watanzania tulioumizwa sana na ufisadi wa Lowassa kuwa na SYMPATHY naye kuwa huenda mambo yote dhidi yake anapakaziwa.
Ushauri: TAKUKURU tumieni akili kidogo kufanya mambo yenu, msionyeshe kila mtu kuwa mnatumiwa. Rushwa imetapakaa kila kona na mlitoa ripoti kuwa Polisi ndio wanaongoza lakini mmeshindwa kukamata, uwezo wenu ni rushwa za uchaguzi tu au kila aina ya rushwa? Mnatumia vibaya kodi zetu. Acheni nature ichukue nafasi yake, yani NAPE AKAMPIGIE KAMPENI MKWEWE LOWASSA, si ndio demokrasia...
SISI (Mimi, mke wangu, watoto wangu wawili na watu wote wenye mawazo kama yangu)You are talking sense but you should avoid to own the public authority. You are not the public spokesperson thus better caution is taken in using prural nouns e.g SISI. This is your personal observation and opinion. I might be of different and still I belond to the public (SISI). You won't be acting fairly in your general statements if you own my opinion prior getting my consent.
SISI (Mimi, mke wangu, watoto wangu wawili na watu wote wenye mawazo kama yangu)
NYIE (Wewe na wenzio wenye mawazo kama yako haiwahusu)
What is public by the way?
Una point mkuu. Bila kutumwa na JK, TAKOKUU RU ni toothless dog!
...