TAKUKURU: Alex Msama bado anatafutwa

Si waende kwake sinza πŸ˜„

Msama kamzingua nani huko juu,mbona mmemkalia
Kooni πŸ˜„
Ila naye msama mzushi mzushi sana πŸ˜„

Ova
Msama ni TAPELI wa hali ya juu
 
Msama ni TAPELI wa hali ya juu
Namjuwa vizuri sana πŸ˜„
Amejiingiza huko ccm ili apatage kinga tu...
Anajifanyaga mcha mungu
Mambo ya dini sjui kuandaa
Matamasha ya mkesha,lakini yote hiyo fiksi tu πŸ˜„
Huko alipo sahv anachekecha mambo namna ya kuja kuwalegeza
πŸ˜„

Ova
 
Msama Mpigaji sana wa Viwanja kwenye Prime Areas..........Nakumbuka alikuwa na eneo Beach Front Mbweni JKT lilikuwa karibu na Mussa Mtimizi(Mtoto wa Waziri Tatu Mtimizi -Enzi za JK) nalo alilipata kwa UTAPELI.
Ntimiz mwenyewe alikuwa TP
πŸ˜„
Msama namjuwa tokea akiwa dereva taxi...
Msama dhuluma U TP uko damuni aise πŸ˜„
Kuna wakati alipangaga pale,opp na best bite alifungua mgahawa alingia mkataba na mama mmoja pale,yule mama kila nkikutana naye alikuwa analalamika khs msama
Mambo ya malipo+kiswahili kingi πŸ˜„ ,nkanajiuliza msama anajuwa lakini yule mke wa nani lakini πŸ˜„
Yule mama ilibidi amfikishie lawama mme wake(mzee fulani)ahh msama alipewa pale masaa 48 aondoke πŸ˜„
Mbona alikimbia πŸ˜„

Ova
 
Hahaha alikuwa anamchukulia poa Mama ,yeah Mtimizi ni TP kweli...Janja janja jazz Band.
 
Hili taifa halimalizi maigizo hasa utawala w chura aka kizimkazi mtu anatafutwa wako nae lumumba CCM n chamwino ndio nyumbani.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Msama Mpigaji sana wa Viwanja kwenye Prime Areas..........Nakumbuka alikuwa na eneo Beach Front Mbweni JKT lilikuwa karibu na Mussa Mtimizi(Mtoto wa Waziri Tatu Mtimizi -Enzi za JK) nalo alilipata kwa UTAPELI.
Je huyu Msama bado hakapatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…