Naona chama kubwa katika ubora wakeMuda wa drama za TAKUKURUCCM na kada mwenzao, kwamba jifiche nje ya nchi halafu tuseme tunakutafuta ili watu wajue kweli.
Haishangazi kujua ni sinema za majambazi ya CCM yanachezea watanganyika.
Hao TAKUKURUCCM wangekua sio tawi la CCM tungeanza kuona kazi yao kwenye ripoti ya CAG.View attachment 3589359
Ni kweliMuda wa drama za TAKUKURUCCM na kada mwenzao, kwamba jifiche nje ya nchi halafu tuseme tunakutafuta ili watu wajue kweli.
Haishangazi kujua ni sinema za majambazi ya CCM yanachezea watanganyika.
Hao TAKUKURUCCM wangekua sio tawi la CCM tungeanza kuona kazi yao kwenye ripoti ya CAG wangekamata yale majizi kwanza ndio waje kwa hawa akina Msama.
Kilimba habari yako, uko singida au Dar?Naona chama kubwa katika ubora wake
Kagera,karagweKilimba habari yako, uko singida au Dar?
Haya, kila la heriKagera,karagwe
Chama hicho kuna matukio ukiyasikia unajua kabisa 100% anayehusika anatokea kwenye hicho chama.Naona chama kubwa katika ubora wake
SanInafikirisha.
Mbeba maono anatafutwaje na Takukuru tena, kala nini?Muda wa drama za TAKUKURUCCM na kada mwenzao, kwamba jifiche nje ya nchi halafu tuseme tunakutafuta ili watu wajue ni kweli.
Haishangazi kujua ni sinema za majambazi ya CCM yanachezea watanganyika.
Hao TAKUKURUCCM wangekua sio tawi la CCM tungeanza kuona kazi yao kwenye ripoti ya CAG wangekamata yale majizi kwanza ndio waje kwa hawa akina Msama.
Chama cha matapeli hicho, halafu huyo jambazi wanajua alipo ni sinema tu watanganyika wanachezewa hapo.Mbeba maono anatafutwaje na Takukuru tena, kala nini?
Msama Mpigaji sana wa Viwanja kwenye Prime Areas..........Nakumbuka alikuwa na eneo Beach Front Mbweni JKT lilikuwa karibu na Mussa Mtimizi(Mtoto wa Waziri Tatu Mtimizi -Enzi za JK) nalo alilipata kwa UTAPELI.Si waende kwake sinza 😄
Msama kamzingua nani huko juu,mbona mmemkalia
Kooni 😄
Ila naye msama mzushi mzushi sana 😄
Ova