scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,865
- 5,747
Asee naomba kuulza hmu kama kuna mtu anajua take away za matunda zinauzwaje kwa jumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu zile niltaka ninunue kwa ajili yanguNgoja waje mkuu lakini Mimi nadhani ulikuwa unaweza amka mapema sana ukaenda sokoni kulangua matunda bora alafu ukatengeneza take away kwa kusimamia mwenyewe ili kiwango cha usafi na ubora kizingatiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
hamna shida mkuu sahani moja huwa inauzwa 500 hadi 1000 ukinunua jumla sahani ya 500 watakuuzia 300 na sahani ya 1000 watakuuzia 700 mkuu
Shkran sanahamna shida mkuu sahani moja huwa inauzwa 500 hadi 1000 ukinunua jumla sahani ya 500 watakuuzia 300 na sahani ya 1000 watakuuzia 700 mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app