Take care of ur tyre, darajani kwetu

Take care of ur tyre, darajani kwetu

Kinyerezi

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2009
Posts
487
Reaction score
149
Nik 18 580.jpg
Daraja ya kutoka mitaa ya kwetu, tahadhari na tairi zako.
 
Aisee daraja limeoboka...usipokua makini ukikanyaga kishimo hicho tairi inapasuka cz of vyuma
 
nasubili siku tyre la mkokoteni wangu lipasuke hapo anacha hapo hapo naagiza fundi wangu kutoka magomeni, aje abadilishe tyre wakati mm najipigia castle zangu hapo darajani white pub naweka majani mwanzo hadi mwisho, wa daraja tuone mtapita wapi
 
Kigari changu chembamba, huwa nabana kushoto kulikwepa hilo tundu, ila wenye magari mapana lazima tundu liwe kati ya matairi ya kushoto na kulia vinginevyo watachuna rangi kwenye mavyuma hayo wakijidai kubana kushoto
 
Back
Top Bottom