Wewe unapatikana wapiNahitaji tajiri au kampuni ya kununua pikipiki mpya au used ili niingie nae mkataba wa mwaka mmoja.
1. Ukinunua pikipiki mpya kila wiki nawasilisha tsh 70,000*wiki52= 3,640,000/= kwa mwaka(service zote kubwa na ndogo kwangu).
NB: Mkataba wa mwaka ukiisha pikipiki inakuwa Mali yangu.
Au
2. Ukinipa pikipiki used kila wiki nawasilisha tsh 50,000 * wiki52= 2,600,000/= kwa mwaka(service zote kubwa kwa tajiri/kampuni na service ndogo kwangu).
NB: Pikipiki itaendelea kuwa Mali yako.
Tajiri au kampuni iliyotayari tukutane inbox tuyajenge, nipo Dar.
Si kasema Dar au usomiWewe unapatikana wapi
Dar KubwaSi kasema Dar au usomi
Huku kwetu hio kazi leo ina mwaka wa 6 sasa tulishaanza
Nanunua pikipiki mpya kisha nampa mtu kwa mkataba kila siku alete Elf 10 kwamwaka inakua milion 3 na laki 6 akimaliza pikipiki inakua mali yake
Hio biashara tunaita PIKIPIKI YA MKATABA
Tuliamua kifanya hivyo kwasababu ukimpa mtu pikipiki akiletee kila wiki elf50 madereva wa boda wengi wanakua wizi
Mara unabadilishiwa spea mara tairi mara wanawapa maday waka
Tukaona ni bora tumpe ya mkataba ili aitunze akijielewa kuwa baada ya siku 360 ni pikipiki yake
Mkuu ikipotea ndo Changamoto za Biashara.., ww utabikishiwa Mkataba upige nao Picha!!!Kwa mkataba ikipotea inakuaje mkuu...?
Lakn huwa hailipi mkuu, piga hesabu vizur utakuta umeingiza sio zaidi ya 3000 kwa sikuHuku kwetu hio kazi leo ina mwaka wa 6 sasa tulishaanza
Nanunua pikipiki mpya kisha nampa mtu kwa mkataba kila siku alete Elf 10 kwamwaka inakua milion 3 na laki 6 akimaliza pikipiki inakua mali yake
Hio biashara tunaita PIKIPIKI YA MKATABA
Tuliamua kifanya hivyo kwasababu ukimpa mtu pikipiki akiletee kila wiki elf50 madereva wa boda wengi wanakua wizi
Mara unabadilishiwa spea mara tairi mara wanawapa maday waka
Tukaona ni bora tumpe ya mkataba ili aitunze akijielewa kuwa baada ya siku 360 ni pikipiki yake
ina tegemea ana taka kufanyia kitu gani?... huyo mnunuzi...Lakn huwa hailipi mkuu, piga hesabu vizur utakuta umeingiza sio zaidi ya 3000 kwa siku
Mkuu ikipotea ndo Changamoto za Biashara.., ww utabikishiwa Mkataba upige nao Picha!!!
Kwa mkataba ikipotea inakuaje mkuu...?
Kwa mkataba ikipotea inakuaje mkuu...?
Lakn huwa hailipi mkuu, piga hesabu vizur utakuta umeingiza sio zaidi ya 3000 kwa siku
Itapendeza Ikiwa boxer tofauti na Boxer tutaongea
hv ni pikpik yoyote au pikpikvya kampuni fulan mfano boxer au sanlg