View attachment 233605Hii mwanangu pia angeweza lol!!
- Ya juu ina mbayuwayu watatu, ya chini wawili.
- Picha ya juu, tiara ya bluu imeelekea kushoto, picha ya chini tiara hio hio imeelekea kulia.
- Kichwa cha huyo jamaa wa kushoto, picha ya juu kuna nyota 9 na picha ya chini ziko 11
- Mti wa picha ya juu una mtunda 9, wa picha ya chini kuna matunda 10
- Kwenye background, picha ya juu ina maua pande zote, picha ya chini ina ua moja upande wa kushoto
- Picha ya juu, nyuma ya jamaa aliesimama picha ya juu kuna kitabu kimoja na tiara 2, picha ya chini kuna kitabu kimoja na tiara 3
1. Hicho kitoy cha purple hapo kwenye picha ya chini hakipo juu
2. Juu vipepeo vitatu chini viwili
3. Juu kushoto kuna kite ya blue wakati picha ya chini hamna
4. Juu kushoto kwa mti kuna ndege wakati kwenye picha ya chini hayupo
5. Mti wa juu una nyota moja pungufu ya wa chini
6. Hizo blue kites zilizopo hewani zinaenda direction tofauti kwa picha ya juu na chini
7. Mti wa chini una tunda moja zaidi ya wa juu
8. Pembeni ya huo mti wa juu wa matunda kuna kitu chekundu ambacho hakipo picha ya chini
9.
haya vimetimia 11 sasa
View attachment 233616
Ok nimeona!!:smile-big:Angalia kiatu cha dada aliyekaa...!.