Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,748
- 28,141
Don ndo kakulisha hii kitu?Sifa yao kuu na ya kipekee ni kwamba wanaendesha pikipiki
Don ndo kakulisha hii kitu?Sifa yao kuu na ya kipekee ni kwamba wanaendesha pikipiki
Ukome na weweHata km hakujui ukishapanda tu story sijui inaanzia wapi yaani mpaka mwisho wa safari yako unajikuta ulikuwa tu unaitikia au kucheka basi ili mradi ufike utakapo.
Bodaboda qetu tukipanda msiongeeongee mnatutoa kwenye mstari mawazo yetu.
Kingine,,, umeshapanda utaona anarekebisha kioo ili akufaidi vizuri.
Kuna mmoja nilipanda akarekebisha kilo nikajisemea hiyo tabia hata Mimi ninayo nikipakia rafk zangu kwenye gari huwaga narekebisha kile kioo cha kuangalizia nyuma kinacho kaaga ndani ili niwachore wanajifeel vipi. Sasa huyu boda mi ñkawa napepesa macho mwingine mnaangalia watu wengine tukafika pahala alibinya break kaliii nikamlaliaaa sa nkamwambi vipiiiii,, eti bahati mbaya kumbe jamaa alikereka alipokuwa ananichabo kwenye kioo aliona nampungia mkono jamaa mmoja wa kwenye gari.
Muache don wangu hajasema kituDon ndo kakulisha hii kitu?
Duh mmefikia huku kuitana "mywangu"?Muache don wangu hajasema kitu
Hawa ndio mainformer wa mapolisi pamoja na madereva taxi, kua nao makini kama ni mtu wa issue issueKingine wana taarifa nyingi mnoo za mtaani so ni source nzuri ya taarifa
Ee muache my wangu 🤣Duh mmefikia huku kuitana "mywangu"?
Kweli wenye wivu tujinyonge
Wananuka uvundo hasa maeneo ya shingoni.
nyie mnapanda boda za wapi ? mimi sijawahi kukutana na dereva ananukaHuku mtaani kwetu kuna boda wapo ovyo..wawili tu ninaowajua hawanuki uvundo.hahahanyie mnapanda boda za wapi ? mimi sijawahi kukutana na dereva ananuka
Huku mtaani kwetu kuna boda wapo ovyo..wawili tu ninaowajua hawanuki uvundo.
eti wawili tu , wenzao ma dereva tax huwa wapo smart mno yani unamkuta kapiga shati lake kubwa la mtumba na suruali vimenyooshwa safi kabisaBaadhi wachafu mno,lakini hii tabia ya kuendesha kitu cha moto mguuni umevaa ndala sio utaratibu kabisa waache mara moja na wasiwe wachafuKofia zao zinakera