Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Boda wanajichukulia poa..hawajui usmart pia uvutia wateja.eti wawili tu , wenzao ma dereva tax huwa wapo smart mno yani unamkuta kapiga shati lake kubwa la mtumba na suruali vimenyooshwa safi kabisa
Yani nikiwakosaga hao wawili nakosa raha..mambo ya nikulipe na bado unikere na miharufu siyataki mie.
eti wawili tu , wenzao ma dereva tax huwa wapo smart mno yani unamkuta kapiga shati lake kubwa la mtumba na suruali vimenyooshwa safi kabisa
