Taja sifa za madereva bodaboda

Taja sifa za madereva bodaboda

Sio kila bodaboda ni bodaboda....kwa macho yangu nishawahi shuhudia mtu kapaki gari yake ofisini kwake ,akavaa kiboda boda akaingia mtaani....wengine wapo kazini

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Siku akikupeleka gesti ujue watu wote wanaokuhusu watajua
...Mamndenyi, Guest hapafai kwenda na boda2! Guest panafaa kwenda na Teksi tu¡[emoji16]
Unachomoka kutoka Teksi, unachoma ndani ya guest fast a, bila watu kushitukia dili...tofauti na bado ambapo watu wanakuona kuanzia kuleee, kwamba sio Mamndenyi yule anaingia guest??[emoji16][emoji16]
 
  1. Hawapigi mswaki
  2. Hawasafishi kwapa
  3. Wanajamba sana wakiwa kwenye mwendo
..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]... Hiyo no 3 hiyo! Ushuzi wote unaishia kwako ukifika mwisho wa safari yako unanuka nya nya tu![emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom