101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,244
Hakika sekta ya usafirishaji imetoa ajira nyingi sana kwa Vijana hususani upande WA pikipiki za bodaboda. Lakini bodaboda kama kazi zingine kuna faida na hasara,lawama na sifa, majigambo na majuto.
Leo tuangalie sifa za ndugu zetu bodaboda
Twende kazi na Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tuangalie sifa za ndugu zetu bodaboda
Twende kazi na Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app


