Taja members wenye Comments za vichekesho hapa Jf..

Taja members wenye Comments za vichekesho hapa Jf..

Hakuna member huwa nafurahi sana nikisoma comments zake kama Evelyn Salt. Haki huwa nawaza jinsi wanafunzi wake wanaenjoy. Nafikiria ni mtu ukikaa nae unacheka muda wote.
Evelyn Salt, she is very bright and sharp mind. Huwa nahisi hajatambua her strenght, naona anachukulia kila kitu in light and positive lakini ana uwezo mkubwa wa kufikiria haraka
 
Back
Top Bottom