![]()
[HAHAHAHAHAHAAHAHAHA!
Kuna mwenye tatizo huko?
-lemutz
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hr666 mimi huwa namuinjoi Sana Mchizi
Monsolin => Mussolin5Cocochanel, monsolin, nyagei, shedede, Faiza kunikosoa maneno, wengine nimewasahau ila nawaleta baadae
😁😁😁Hakuna member huwa nafurahi sana nikisoma comments zake kama Evelyn Salt. Haki huwa nawaza jinsi wanafunzi wake wanaenjoy. Nafikiria ni mtu ukikaa nae unacheka muda wote.
anafundisha nini?Hakuna member huwa nafurahi sana nikisoma comments zake kama Evelyn Salt. Haki huwa nawaza jinsi wanafunzi wake wanaenjoy. Nafikiria ni mtu ukikaa nae unacheka muda wote.
anafundisha nini?
Uje nikuchekeshe na PM basi, mrembo.