Taja majina ya kimahaba kwa kabila lenu

Socw

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
1,329
2,644
wakuu....
kila jamii kuna ishu mapenzi na hayakwepeki of course. na kabla ya kuja maneno ya kupetipeti kidhungu huko vijijini kwetu tulikuwa tukipetiana kilugha...sasa hebu tuweke majina ya kimahaba unayoweza kumwita mpenzi wako kwa lugha ya kabila lako...nikianza mimi

mnyaso= mchumba wa kike
mhinza= msichana mrembo
mzelelo= mchumba wa kiume/ handsome
(kigogo)

wewe je kwa lugha ya kavila lako mnaotanaje?
 
Kwani hili kabila gani kwanza?
 
Back
Top Bottom