Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)

Kila mtanzania atapata bima.
 
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Dini, ni uongo na uzushi bado watu wanafikiri ni ukweli
 
Back
Top Bottom