Taja jina la mtu ambalo ukilisikha linakuchekeshaga

ZE SNOWMAN

Member
Jan 10, 2014
44
10
wapi iyo,njoo wazee binafsi kuna jina fulan kwa kabila la kiha uwaga nacheka linaitwa kaviyinabhuhiye(anacheza akiona msosi umeiva),wewe ni lipi? tupia apo!!
 
hata mimi nilisoma na demu anaitwa hermenegilda cristfa manyama duuuu jina sitalisahaaaauu
 
le mutuz system,hasa nikifananisha hlo jina na umbo na umri wa mwenye jina
 
mwaipusi,mwakajinga,nyamayao, "mwaipumbu"-huyu tunaish nae mtaa mmoja
 
Back
Top Bottom