Mkuu umenikumbusha "Rango na Ratattouile" hizo cartoon ukijumlisha na "Tom and Jerry"Rango
SALT ya Angelina JOLIE!Wanajamvi na tumai nyote ni wazima wa Afya.Ningependa tujumuike ktk Uzi huu,kutaja ni cinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lkn bado hujaichoka.
Mimi binafsi movie ambayo huwa hainichoshi kuiangalia ni
BLOOD DIAMOND