factvita halisi inayopambanwa hapo ni ya kijasus na hiyo ndiyo itakayoamua mustakabal wa taiwan hayo mandege ni mbwembwe tu
Tembo asitumie mwili wake mkubwa kumwonea mdogo. China inatamani kujitanua imiliki sio tu Taiwan bali pia East China Sea na ukanda wote huo if possible dunia yote. Ubabe wa kijinga kabisa zama hizi za enlightenment.mmuu???
Kainchi kadogo ka Taiwan duuuu kanamtishia Tembo jamani!!!!
Miaka yote China imeshindwa hata kupandikiza pandikizi kwenye chaguzi za Taiwan ndio ataweza kufanya njama za mapinduzifact
Taiwan yatatokea mapinduzi tu kama myanmar kwamaslahi ya UCHINA ama itabakia serikali iliopo kwa maslahi ya US namashost zake
Mbona walifanikiwa, kwenye uchaguzi wa Taiwan 2020 mpinzani mkuu alikuwa anaungwa mkono na China na kabla ya uchaguzi alionekana kama anaenda kushinda na hatimae kuiunganisha Taiwan na China kwa ahadi kwamba watajitegemea kama ilivyo Hongkong. Tatizo lilianza pale China alipopitisha sheria ya ulinzi kuhusu Hongkong hapo ndipo wataiwan wakamkataa mchina na kupelekea Rais wa sasa kushinda kirahisi.Miaka yote China imeshindwa hata kupandikiza pandikizi kwenye chaguzi za Taiwan ndio ataweza kufanya njama za mapinduzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Koment zingine zinafurahisha.fact
Taiwan yatatokea mapinduzi tu kama myanmar kwamaslahi ya UCHINA ama itabakia serikali iliopo kwa maslahi ya US namashost zake
Unazungumzia Kuomintang chama ambacho kimepoteza ushawishi tangu 2014?Mbona walifanikiwa, kwenye uchaguzi wa Taiwan 2020 mpinzani mkuu alikuwa anaungwa mkono na China na kabla ya uchaguzi alionekana kama anaenda kushinda na hatimae kuiunganisha Taiwan na China kwa ahadi kwamba watajitegemea kama ilivyo Hongkong. Tatizo lilianza pale China alipopitisha sheria ya ulinzi kuhusu Hongkong hapo ndipo wataiwan wakamkataa mchina na kupelekea Rais wa sasa kushinda kirahisi.
Km mchina anamuwekea pandikiz us ambaye hawafanan hata kimuonekano anashindwa vp kwa nchi ambayo wanafanana muonekano,majina mpaka tamaduniMiaka yote China imeshindwa hata kupandikiza pandikizi kwenye chaguzi za Taiwan ndio ataweza kufanya njama za mapinduzi
Sent using Jamii Forums mobile app
FafanuaUnazungumzia Kuomintang chama ambacho kimepoteza ushawishi tangu 2014?
Wataziona tu sema hawana cha kufanya. Taiwan haitambuliki kama nchi huru kimataifa kwahiyo hawana anga la ulinzi na hapo ndipo China anapopitisha ndege zake. Taiwan akitungua ndege za kichina anakuwa amevunja sheria za kimataifa hivyo itabidi alipe, pili kitendo hicho kinaweza kuanzisha vita rasmi na China.Pale tunaanza kupitisha J-20, Taipei hana rada ya kuziona hizi mashine
Sure kwa kutombulika kwao kuwa taifa huru ndo maana China haitambui ADIZ ya TaiwanWataziona tu sema hawana cha kufanya sababu ya unafiki wa nchi za magharibi. Taiwan haitambuliki kama nchi huru kimataifa kwahiyo hawana anga la ulinzi na hapo ndipo China anapopitisha ndege zake. Taiwan akitungua ndege za kichina anakuwa amevunja sheria za kimataifa hivyo itabidi alipe, pili kitendo hicho kinaweza kuanzisha vita rasmi na China.
US ni multiracial na wachina wengi wakiwemo kiasi cha kuwa mpaka na Chinatown in the US, hujui kisa cha Bluce Lee kwa mfano? muuza viatu ungerudi tu barabarani kutembeza viatu vyako achana na simu kwa sasa…Km mchina anamuwekea pandikiz us ambaye hawafanan hata kimuonekano anashindwa vp kwa nchi ambayo wanafanana muonekano,majina mpaka tamaduni
Sijui nani huwa anawalisha hizi takataka huko vijiweni mkikaa..Km mchina anamuwekea pandikiz us ambaye hawafanan hata kimuonekano anashindwa vp kwa nchi ambayo wanafanana muonekano,majina mpaka tamaduni
Kwa mfano ulioutoa kuhusu wachina na muingiliano na us bila shaka inakua rahisi sana kwa China kuweka majasusi Taiwan na nashukuru kwa ushaur wako kuhusu biashara yangu ya viatUS ni multiracial na wachina wengi wakiwemo kiasi cha kuwa mpaka na Chinatown in the US, hujui kisa cha Bluce Lee kwa mfano? muuza viatu ungerudi tu barabarani kutembeza viatu vyako achana na simu kwa sasa…
Nipe madin mnama ili niziondoe hiz takatakaSijui nani huwa anawalisha hizi takataka huko vijiweni mkikaa..