Taiwan: Tutazitungua ndege za China zikipita anga letu

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,839
17,437
Taiwan yaionya China iwapo ndege zake zikipita anga yake zitadunguliwa.

Kiongozi mmuu wa jeshi la Taiwan ameionya china iwapo ndege zake za kivita zitapita kwenye anga ya Taiwan na kuapa kuzidungua ndege vita hizo za china
 
China ni mpiga sound mzuri sana. Wakati Taiwan wanajitenga na kuanzisha taifa lao huru lenye kufuata uchumi wa soko huria wao walikuwa wameshikiliwa na nani.

China should mind their own business and leave Taiwan alone for Taiwan is a sovereign country.
 
Miaka yote China imeshindwa hata kupandikiza pandikizi kwenye chaguzi za Taiwan ndio ataweza kufanya njama za mapinduzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona walifanikiwa, kwenye uchaguzi wa Taiwan 2020 mpinzani mkuu alikuwa anaungwa mkono na China na kabla ya uchaguzi alionekana kama anaenda kushinda na hatimae kuiunganisha Taiwan na China kwa ahadi kwamba watajitegemea kama ilivyo Hongkong. Tatizo lilianza pale China alipopitisha sheria ya ulinzi kuhusu Hongkong hapo ndipo wataiwan wakamkataa mchina na kupelekea Rais wa sasa kushinda kirahisi.
 
Unazungumzia Kuomintang chama ambacho kimepoteza ushawishi tangu 2014?
 
Pale tunaanza kupitisha J-20, Taipei hana rada ya kuziona hizi mashine
Wataziona tu sema hawana cha kufanya. Taiwan haitambuliki kama nchi huru kimataifa kwahiyo hawana anga la ulinzi na hapo ndipo China anapopitisha ndege zake. Taiwan akitungua ndege za kichina anakuwa amevunja sheria za kimataifa hivyo itabidi alipe, pili kitendo hicho kinaweza kuanzisha vita rasmi na China.
 
Wataziona tu sema hawana cha kufanya sababu ya unafiki wa nchi za magharibi. Taiwan haitambuliki kama nchi huru kimataifa kwahiyo hawana anga la ulinzi na hapo ndipo China anapopitisha ndege zake. Taiwan akitungua ndege za kichina anakuwa amevunja sheria za kimataifa hivyo itabidi alipe, pili kitendo hicho kinaweza kuanzisha vita rasmi na China.
Sure kwa kutombulika kwao kuwa taifa huru ndo maana China haitambui ADIZ ya Taiwan
 
Km mchina anamuwekea pandikiz us ambaye hawafanan hata kimuonekano anashindwa vp kwa nchi ambayo wanafanana muonekano,majina mpaka tamaduni
US ni multiracial na wachina wengi wakiwemo kiasi cha kuwa mpaka na Chinatown in the US, hujui kisa cha Bluce Lee kwa mfano? muuza viatu ungerudi tu barabarani kutembeza viatu vyako achana na simu kwa sasa…
 
Kwa mfano ulioutoa kuhusu wachina na muingiliano na us bila shaka inakua rahisi sana kwa China kuweka majasusi Taiwan na nashukuru kwa ushaur wako kuhusu biashara yangu ya viat
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom