TAIWAN : Jeshi la Taiwan limeitungua Drone ya China iliyoingia kwenye Anga lake katika kisiwa Cha Kinmen.

Taiwan kuionya China :oops::oops: ok sawa wanachokitafuta watakipata!! Marekani wasimpe kiburi.
Wameitungua Drone ya Kiraia kutoka China. China Alikuwa anapima urefu wa kina Cha maji huko Taiwan kwa kutuma Drone za Kiraia kwenye Anga la Taiwan ili ione Taiwan itajibu vipi. Sasa Taiwan imeishusha Kwa Kombora Drone ya China.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom