Taire taire taire baba, gazeti la tanzaniadaima too much tena

mbona uhusiano wa moja kwa moja kati ya chadema na Tanzania daima, unataka kutuaminisha kuwa tanzania daima linaambiwa na chadema ya kuandika gazetini? Tuwe makini kuziongoza akili zetu jamni
 
baada ya kumaliza vurugu huko Zanzibar, magazeti yote yalielekeza macho na kalamu yao huku TZBARA.
ukiangalia magazeti mengi, harakati za taasisi za Kiislam kama BAKWATA na jumuia za kiislam nyengine zilizokuwa katika harakti zao kama taasisi nyengine za kidini. Ukisoma nipashe, habarileo, majira, mwananchi, Mtanzania, uhuru, Jamboleo, Majira yamejaribu kuonyesha angalau nini kinaendelea
Palikuwa na Kongamano kubwa hapo Diomond Jubilee kuhusu Katiba mpya, sensa, sakata la Necta na hali ya Zanzibar.
kwa bahati nzuri magazeti yote yalitoa taarifa hizo kwa mtazamo wao.
Lkn TZDAIMA Licha ya kuwa na waandishi wengi kama waliowatuma ZANZIBAR, haijawhi kutoa au kupasha habari zinazohusu waislam tangu kumaliza Sakata la Uchomaji wa Makanisa ambapo gazeti hilo lilikuwa ni moja ya magazeti ACTIVE ktk swala zima la Zanzibar.

MTAZAMO WANGU
Binafsi naamini kila gazeti linamtazamo wake wa kutoa na kupasha habari, ndio maana Magazeti kama Msemakweli, Kiongozi , annur na Kisiwa yanajulikana jinsi ya wanavyotoa habari yao
Lkn magazeti yanayojulikana sio ya Kidini linapotokea tukio kama hili pana haja ya kuuliza.
INGALIKUWA tzdaima haihandiki maswali ya taasisi kidini hapa pangalikuwa hakuna haja ya
Kuhoji.LKN tukio la Zanzibar ilivyolemea kuna haja ya kuhoji
Jee kumezidi nini ndani ya tzdaima?
Jee chadema Ikipata tv yake, mambo yatakuwa kama haya ya tzdaima? na kwa faida ya nani?

Ndugu yangu, wenye Tanzania Daima ndio wenye CHADEMA na wao ni wafuasi wa Kristo, unategemea lipi kutoka kwao?
 
kosa la tz daima lipo wap? Kwani mnafanya madudu ya kipuuzi na kupoteza muda diamond jublee kwa madai ambayo yamekwisha tolewa maelezo alafu mnataka muandikwe magazetin? Huo ni upofu wa kufikiri.
kwa hivyo matukio ya waislam ndani ya tzdaima ni madudu. Lkn ya wakiristo ni hot news? Kama ndio hivuyo tzdaima ilaaniwe kwa nguvu zote
 
Kukizungumzia sana kitu nayo nisababu ya kuchochea,safi sana tzdaima. Unapenda watu tuendelee kuzungumzia udini tu kila siku. Kuna mambo mengi ya kuandika siyo kila siku uchomaji wa makanisa au uamsho.hujui kuandikwa kila siku habari za udini zina leta chuki mbaya baini ya watu?

BOKO HARAMU BWANA

kuishi na special groups shida sana...tuwape haki zao
 
Njiwa umesema.lkn tunashangaa utaopoona gazeti limeshuapalia jambo la dini 1. Dini ya 2 ikiona kwao sio muhimu huku gazeti hilo likisajiliwa kama la jamii na sio la dini
 
kumbe muhariri wake ndio hao? Mbona nasikia la chadema? Kuna uhusiano gani kati ya chadema na kanisa?

Kanisa Sumbawanga liliwafukuza waumini wake kwanini hawakuipigia kura chadema, huo ndio uhusiano iliopo. Ikafanywa kila njia kupitia kanisa mpaka huyo Mbunge aliyeshinda akavuliwa Ubunge. Cheza na mwenye mali usicheze na mali yake.
 
[h=2]
icon1.png
ccm kuanzisha al shabab mikoa ya pwani[/h]
KATIKA HALI YA KUWAGAWA WATANZANIA CCM IMEANZA KUWATUMIA BAKWATA KUWAGAWA WANANCHI.WAZIRI WA ELIMU NI MUISLAM MAKAMU WA RAIS MISLAM KATIBU ITIKADI CCM NI MUISLAM,RAIS WA NCHI MUISLAM MKUU USALAMA WA TAIFA NI MISLAM SASA VP LEOBAKWATA WASEME WANA FELISHWA HIZI NI MBINU CHAFU ZA CCM KUWATOA WANANCHI KWENYE WIMBI LA MAGEUZI YA KISIASA NA KUIINGIZA UDINI KWENYE JAMII NI HATARI NA NI LAANA KWA HAWA WANAMTANDAO HUU TUNASEMA ILI TANZANIA IWE NA AMANI 2015 CCM LAZIMA IONDOKE ISITULETEE MAAFA.WAMEANZA UAMSHO NA HAKUNA KARIPIO KALI LILILOTOLEWA KUONESHA CCM INAVYOHUSIKA VILIVYO KABLA YA UCHAGUZI 2015 WASHINDWE WALEGEE NA WASAMBARATIKE.MUNGU IBARIKI TANZANIA:confused2:​
 
haya mbona yameelemea zaidi kanisa? kwani hili ni gazeti la KANISA? kumbe madai ya waislam TZDAIMA hayahusu? ndio msimamo wa mmiliki?

Mambo ya waislam ni yapi na mambo ya wakristo ni yepi?Mbona watanzania mmejaa udini sana?Kitu kikitokea tayari hisia zinakutuma ufananishie na udini na wewe unaona ni sahihi na kushangilia Kama zuzu.
 
MIMI NAWAZA NA SINA KITAKACHONIFANYA KUYAMALIZA MAWAZO HAYA MPAKA HAPO KESHO, NITAKAPOONA TANZANIA DAIMA WAMEANDIKA NINI KUHUSU MKUTANO WA CCM JANGWANI LAKINI KAMA NITATOKA KWENYE MAWAZO HAYA NA KUUVAA UTABIRI HATA KWA MUDA TUU.,UTABIRI HUO UTAKUWA KAMA IFUATAVYO KATIKA VICHWA KICHWA CHA HABARI.

* Jangwani CCM yakosa watu.
* Magari ya kubebea watu yafurika jangwani.
*CCM yatumia Bilioni 40 mkutano wa jangwani.
* Gharama ya Mkutano wa CCM Jangwani, sawa na kujenga hospitali za rufaa kama 8.

Na kama kwa namna yoyote ile mhariri wa siku zote hatokuwepo, akahariri mwingine ambaye ni reserve au anabaniwa kwa kuwa anaonekana ni wa mlengwa wa kati kwa kati ataandika kama ifuatavyo;

* Obama afadhili mkutano wa CCM jangwani
* Fedha za miradi ya barabara Magufuli azitumia kwa ajili ya mkutano Jangwani.
* Ng'ombe 300 wateketea kwa ajili ya kuandaa chakula cha wahudhuriaji wa Mkutano Jangwani.
* Hakuna mwananchi wa kawaida aliyehudhuria jangwani zaidi ya viongozi wa CCM na familia zao.

Namna hii TANZANIA DAIMA, MWANANCHI, MWANAHALISI yatasomeka..,niko TAYARI KUWEKA dau hata la Mke wangu niliyeoa kama utabiri wangu ukifeli.
 
Back
Top Bottom