steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 9,574
- 10,285
Duuh, hiyo zawadi hivi inaendana na hadhi ya michuano yenyewe, yaani zawadi hata mshahara wa Joseverest haufikii, waafrica tuache kujishusha kiasi hiki aisee, ndio maana hata wawekezaji wa nje wakija kuwekeza kwetu Kama Acacia wanatupangia mrahaba wa kutupa badala ya kuangalia hali halisi