Taifa Stars yanyakua dola 10,000 baada ya kushika nafasi ya 3 COSAFA

Duuh, hiyo zawadi hivi inaendana na hadhi ya michuano yenyewe, yaani zawadi hata mshahara wa Joseverest haufikii, waafrica tuache kujishusha kiasi hiki aisee, ndio maana hata wawekezaji wa nje wakija kuwekeza kwetu Kama Acacia wanatupangia mrahaba wa kutupa badala ya kuangalia hali halisi
 
Utawala wa Magufuli umejaa neema.

Hadi Taifa Stars imeshinda
FB_IMG_1499427446935.jpg
 
Hongereni Timu yetu. Mshindi wa tatu mwalikwa si haba. Ila tuna kazi kubwa sana, hivyo waongeze juhudi!
 
Duuh! Soka la Afrika Sana na ndomaana hawausishi wachezaji wa nje maana samatta ungemlipa nini? Sasa
 
$ 10,000 sawa na Tshs 22,000,000/= du sasa hapa watagawana ngapi ngapi sasa! Wakati Malinzi alikua wanachota USD 10,000 peke yake, team ya taifa stars yenye wanasoka zaidi ya 20, bench la ufundi,kamati ya ufundi,Dr wa team, hapa wanafika 30! Zen ndo wagawane hizo 22,000,000 walahi soccer la bongo haliwezi fika popote!
Sasa wewe unataka wagawane kiasi gani kila mmoja ili soka la bongo liendelee ?
 
watagawana waliocheza wewe haikuhusu
 
Tusiangalie sana Zawadi, haya mashindano yametusaidia sana kama timu ukizingania Malibu aslimia 70 no timu Mpya sasa kiuzoefu INA faida sana kwetu.
 
Huoni kama nikipmo cha ku-Improve kisoka? Au ww kwa akili zako unajua nn? Walioweka hivyo viwango hawana akili au ww ndo huna akili?
Cosafa vs Cecafa, ligi/michuano gani bora kwa maana ya maandalizi, ubora wa timu na zawaidi?
 
Sasa wewe unataka wagawane kiasi gani kila mmoja ili soka la bongo liendelee ?
Mkuu nazani hujanielewa hoja yangu ni ipi kwenye soccer la bongo!!

TFF ni taasisi inayojitegemea,inapata rudhuku na pesa za mashindano toka FIFA,CAF na makampuni makubwa kama TBL,Coca cola na serikalini pia!
Hoja yangu ya msingi ni kwa nini TFF wasibuni mbinu mbadala ili waweze kupata pesa zakuweza kuwalipa walau wachezaji wake wa timu ya taifa 1,000,000 kila mwezi??
Mtu una mke,na watoto unaenda kucheza mashindano zen unarudi na laki 500,000 hv hiyo familia utaiendesha vipi? Mchezaji akiumwa hua anatibiwa na nani?? Tumeona pindi wachezaji wanapostaafu kucheza mpira wengi wao hua wezi (Alex Masawe RIP),makondakita( Paul Masanja) wa kwenye mabasi na wengine hata wakiumwa hadi wapate misaada ndo waweze tibiwa hispotalini (Edibily Lunyamila)

Lakini kama mazingira yalikua rafiki kwao wasingeweza kuishi maisha ya tabu kama hayo! Kama Malinzi anaweza kwapua Tshs 880,000,000/= kwa nini wasipewe motisha wachezaji wetu??
 
Mkuu nazani hujanielewa hoja yangu ni ipi kwenye soccer la bongo!!

TFF ni taasisi inayojitegemea,inapata rudhuku na pesa za mashindano toka FIFA,CUF na makampuni makubwa kama TBL,Coca cola na serikalini pia!
Hoja yangu ya msingi ni kwa nini TFF wasibuni mbinu mbadala ili waweze kupata pesa zakuweza kuwalipa walau wachezaji wake wa timu ya taifa 1,000,000 kila mwezi??
Mtu una mke,na watoto unaenda kucheza mashindano zen unarudi na laki 500,000 hv hiyo familia utaiendesha vipi? Mchezaji akiumwa hua anatibiwa na nani?? Tumeona pindi wachezaji wanapostaafu kucheza mpira wengi wao hua wezi (Alex Masawe RIP),makondakita( Paul Masanja) wa kwenye mabasi na wengine hata wakiumwa hadi wapate misaada ndo waweze tibiwa hispotalini (Edibily Lunyamila)

Lakini kama mazingira yalikua rafiki kwao wasingeweza kuishi maisha ya tabu kama hayo! Kama Malinzi anaweza kwapua Tshs 880,000,000/= kwa nini wasipewe motisha wachezaji wetu??
Mkuu,kuna baadhi ya vitu nakubaliana na wewe,kuwalipa posho ni sawa lakini siyo kila mwezi,ni pale watakapokuwa kambini na kwenye mechi za taifa baada ya hapo warudi kwenye timu zao za vilabu ambako ndo kwenye ajira yao.
Tatizo kubwa viongozi ktk taasisi zote ziwe za siasa,soka,asasi za kiraia nk huwa wanagombea uongozi kwa ajili ya maslahi binafsi.Akishapata uongozi tu anaanza kuangalia maslahi yake,ndg zake na familia yake ndo maana leo tupo hapa ktk kila nyanja badala ya kuangalia maslahi ya taifa kwanza.
 
ILE TIMU YA KEKO INGEKUWEPO AISEEE HIZO DOLA MNGESKIA ZIMELIPA MADENIYAO
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom