I want to say something ambacho wadau wengi wa soka humu JF na Tz kwa ujumla hawatapenda kukisikia?
Hivi team ya taifa hukusanya wachezaji (asilimia kubwa) toka wapi?, si klabu zetu hizi hizi?, si SIMBA NA YANGA?, asa let me say this; kwa mfumo huu DUME wa kuona SIMBA NA YANGA ni alfa na omega ktk soka la bongo, na kwa system ambayo hizi klabu zinajiendesha na kutafuta wachezaji na ikibidi kuwaendeleza..then TZ we will be lagging behind FOREVER!!!!
Wengi hatupendi kukubali ukweli lakini twende mbele turudi nyuma soka ya Bongo kwa system hii tuliyonayo itabakia kuwa nyuma siku zote, i mean tutakuwa TUNABAHATISHA!!
Kwa wewe mpenzi wa soka unayesoma hapa sikia hii;
Kazi ya Fellipe Scorali, Van Basten, Cappello etc kimsingi, kazi yao sio kumfundisha Ronaldo au Robben au Rooney jinsi ya kucheza mpira, ila tu kuangalia the way atakavyo pair mastaa wake, atumie tactics gani etc ili kushinda, kazi ya kumfundisha mpira unavyochezwa, kumjenga mchezaji etc ni kazi ya SAF, AW, Ancelloti, au Rikaard, sio kazi za national coach.
Binafsi naona still kama soka yetu ya klabu za ndani itaendelea kuwa ya kubahatisha kama hivi ilivyo then we should not labour ourselves alot to expect makubwa from our national team...!
Kwa mfumo huu dume tukionao, wakuu nawambia hata akija Guss Hiddink au Scorali still we will be far from being better!!, tutamlaumu Maximo mzee wa watu bure!!
Kama unabisha jiulize hili: Ivi kweli ni kazi ya Maximo kumfundisha Emmanuel Gabriel kufunga ni hvi unapiga, hivi, mguu unaweka hivi, unainama hivi kidogo, panalti unapiga hiviii, etc??
Not really bro!!!