😅😅Leo tupigwe ili pongezi ziende kwa manyonyo kama kawaida
Nitafurahi sana.Wapigwe nne kipindi cha kwanza wasirudi uwanjani 😃
😎😎 Imeisha hiyo mkuuMakonda 😃
SanaWatanzania tuna hasira balaa
Best loser!
Sio hasira ni ujinga na uzazwa.Huwezi kuichukia Nchi yako kwa sababu yeyote ile.Watanzania tuna hasira balaa