TAIFA STARS Vs SUDAN-2nd Leg

Dk 62 refa katubania penati Ngassa kaangushwa ndani ya box

Kwa kweli nikikuta post yako bwana Masatu roho inanidunda sana! Tupe habari kijana. Tumeshikilia naniiiii,,,,, tusifungwe goli lingine. Hapa barbeque imeshaandaliwa. tatizo ni namna ya kuila! Tupe raha tuile kwa raha...
 
Kuna ngumi uwanjani oooh sasa vijana wanataka kumpa sababu refa awape kadi nyekundu lakini salama hakuna kadi.

Unajua jamaaa wanaprovoke sasa watoto wasipokuwa makini itakuwa noma

Mkuu masatu, kama tulivyosema warabu ndio kazi imeanza, wana maudhi sana sometimes usishangae vijana kuwa provoked, na vijana wakijichanganya tu basi nakwambia hizo 3-1 zinazohitajika zitapatikana.
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo dakika ya 67 tanzania 2 sudan 1
 
Kwa kweli nikikuta post yako bwana Masatu roho inanidunda sana! Tupe habari kijana. Tumeshikilia naniiiii,,,,, tusifungwe goli lingine. Hapa barbeque imeshaandaliwa. tatizo ni namna ya kuila! Tupe raha tuile kwa raha...

Hahahaaaaaaaa mmeshika nanihiii...lol..hivyohivyo mkuu mimi mwenyewe hapa nimeshika nanihi...lol
 
Wamanga wamechanganyikiwa watoto wanakamua kwa kwenda mbele aaaaaaaahb tumewakosa la 3 duh
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo dakika ya 67 tanzania 2 sudan 1

Mkuu sasa afadhali maana nilishaanza kuingiwa na hasira za maudhi ya warabu ingawa kabumbu silioni. Roho imetulia sasa.

Mkuu shukrani kwa kutu-update.
 
Kwa kweli nikikuta post yako bwana Masatu roho inanidunda sana! Tupe habari kijana. Tumeshikilia naniiiii,,,,, tusifungwe goli lingine. Hapa barbeque imeshaandaliwa. tatizo ni namna ya kuila! Tupe raha tuile kwa raha...

Mungu kasikia maombi yetu. kwa hizi dkk zilizobaki hawa wasudan watapata 5-2??? never
never, never
Sudan out!
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo dakika ya 67 tanzania 2 sudan 1

Thank you much my dear. I now have all guts to order Absolute VODKA na hii barbeque hapa, non stop to morning. Hakuna miujiza ya kutufunga goli sita watutoe! Haipo ipo kwa stars ya Maximo sasa. Thanks GOD.
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo dakika ya 67 tanzania 2 sudan 1

Ahsante sana mkuu kwa hizi update zako. Sasa mpira uishe...LOL! maana zimebaki dakika chache lakini mpira ni dakika 90. Tuombe Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom