TAIFA STARS Vs SUDAN-2nd Leg

Kuna dogo ana rasta jina sijalipata vizuri. Lakini tusha wamudu kama wenye bia zao wanywe tu wamanga kwishne!

Kwa jinsi bwana Masatu unavyotupa vitu live siendi Bar tena hadi mpira uishe.
hasira zilishaanza kunipanda ila sasa poa naamini Maximo amefanya kazi nzuri sana huko vyumba vya kupumzika,........ Bravo Maximo.
 
Ahsante sana mkuu kwa hizi update zako. Sasa mpira uishe...LOL! maana zimebaki dakika chache lakini mpira ni dakika 90. Tuombe Mungu.

Na tunazidi kuomba japo Mungu ni wa wote..kwani wengine wameweza wana nini na sisi tushindwe tuna nini
 
Huyu Athumani Idd mtambo mkubwa! anatakata kweli pale katikati ila yake nae YANGA aaah noma kweli
 
Dakika ya 80 bado tunaongoza 2-1 anaingia Musa Hassan MGOSI anatoka Nurdin Bakari. Nurdin ndie aliefunga goli la 2
 
Huyu Athumani Idd mtambo mkubwa! anatakata kweli pale katikati ila yake nae YANGA aaah noma kweli

Huyu kijana katulia sana katikati, kati ya viungo mahiri tanzania chuji ni mmoja wapo, napenda jinsi anavyo jiamini.
 
Huyu kijana katulia sana katikati, kati ya viungo mahiri tanzania chuji ni mmoja wapo, napenda jinsi anavyo jiamini.

Atafutiwe timu ulaya haraka jamani kabla hajalosti na soka la Bongo
 
Dakika ya 80 bado tunaongoza 2-1 anaingia Musa Hassan MGOSI anatoka Nurdin Bakari. Nurdin ndie aliefunga goli la 2

Nurdin Bakari naye ni Yanga..lol..anyways tunazungumzia Taifa stars hapa,Taifa stars oyeeeeeeeee Ivory coast hiyoooo inatusubiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom