Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,856 Reaction score 22,191 Jun 17, 2012 #41 Mbona wanaturamba mapema mapema hivi...
CPU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 3,858 Reaction score 687 Jun 17, 2012 #42 Jamani link zote hizo hazifanyi kazi
D Danho Member Joined Jun 15, 2012 Posts 54 Reaction score 2 Jun 17, 2012 #43 Mbona TVM1 na TVM2 zote hazionyeshi..!msaada
Yericko Nyerere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,018 Reaction score 20,489 Jun 17, 2012 #44 Wkaijage said: Kwa hiyo staili tunang'atuka. Click to expand... Bado mkuu mpaka dakika 90 na 4 za refa ziishe ndio tutaongea mengine!
Wkaijage said: Kwa hiyo staili tunang'atuka. Click to expand... Bado mkuu mpaka dakika 90 na 4 za refa ziishe ndio tutaongea mengine!
Wkaijage Senior Member Joined Feb 14, 2012 Posts 195 Reaction score 13 Jun 17, 2012 #45 Yericko Nyerere said: Tv Mozambique Click to expand... acha kudanganya watu TvM hawaoneshi mechi bali wanapiga mziki.
Yericko Nyerere said: Tv Mozambique Click to expand... acha kudanganya watu TvM hawaoneshi mechi bali wanapiga mziki.
A achilles Senior Member Joined Oct 10, 2011 Posts 109 Reaction score 18 Jun 17, 2012 #46 dakika ya ngap na kwa wanaofuatilia vp kuna matumaini ya kusawazisha au ndio hivyo wanatubonyeza hawa wamakonde?
dakika ya ngap na kwa wanaofuatilia vp kuna matumaini ya kusawazisha au ndio hivyo wanatubonyeza hawa wamakonde?
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,119 Reaction score 40,125 Jun 17, 2012 #47 Yericko Nyerere said: Bado mkuu mpaka dakika 90 na 4 za refa ziishe ndio tutaongea mengine! Click to expand... sema kweli mpira nani ana miliki?
Yericko Nyerere said: Bado mkuu mpaka dakika 90 na 4 za refa ziishe ndio tutaongea mengine! Click to expand... sema kweli mpira nani ana miliki?
E ejogo JF-Expert Member Joined Dec 19, 2009 Posts 990 Reaction score 72 Jun 17, 2012 #48 Wandugu, hakuna live stream inayoonyesha hii mechi?
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,119 Reaction score 40,125 Jun 17, 2012 #49 Yaani we acha tu achilles said: dakika ya ngap na kwa wanaofuatilia vp kuna matumaini ya kusawazisha au ndio hivyo wanatubonyeza hawa wamakonde? Click to expand...
Yaani we acha tu achilles said: dakika ya ngap na kwa wanaofuatilia vp kuna matumaini ya kusawazisha au ndio hivyo wanatubonyeza hawa wamakonde? Click to expand...
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jun 17, 2012 #50 sport maumivu, siasa maumivu ngoja duuuh..
Yericko Nyerere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,018 Reaction score 20,489 Jun 17, 2012 #51 Wkaijage said: acha kudanganya watu TvM hawaoneshi mechi bali wanapiga mziki. Click to expand... Na hapa vp? http://www.footballscores.com/fixtur...anzania/17-06-
Wkaijage said: acha kudanganya watu TvM hawaoneshi mechi bali wanapiga mziki. Click to expand... Na hapa vp? http://www.footballscores.com/fixtur...anzania/17-06-
Mpiganaji wa watu Member Joined May 26, 2012 Posts 32 Reaction score 1 Jun 17, 2012 #52 matokeo ngapi till now
mzozaji JF-Expert Member Joined Jul 28, 2010 Posts 255 Reaction score 15 Jun 17, 2012 #53 Yericko Nyerere said: Na hapa vp? http://www.footballscores.com/fixtur...anzania/17-06- Click to expand... Hakuna hata TV moja inaoyesha hii mechi online wala TVM1 an TVM2 wala TBC wala nani anaonyesha inaelekea jamaa wameamua kubania ili wafanye fitna ikibidi.
Yericko Nyerere said: Na hapa vp? http://www.footballscores.com/fixtur...anzania/17-06- Click to expand... Hakuna hata TV moja inaoyesha hii mechi online wala TVM1 an TVM2 wala TBC wala nani anaonyesha inaelekea jamaa wameamua kubania ili wafanye fitna ikibidi.
IrDA JF-Expert Member Joined Aug 26, 2010 Posts 745 Reaction score 360 Jun 17, 2012 #54 ama kweli taifa stars ugonjwa wa moyo
Wkaijage Senior Member Joined Feb 14, 2012 Posts 195 Reaction score 13 Jun 17, 2012 #55 People timu zetu, bado ni kichwa cha mwenda wazimu,sina matumain na kuvuka raundi hii.
Yericko Nyerere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,018 Reaction score 20,489 Jun 17, 2012 #56 Mungu epusha na laana ya kichwa cha mwenda wazimu!
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,640 Jun 17, 2012 Thread starter #57 duuh nimeishiwa pozi. Pamoja na kubeti kote huko? Watoe hata draw bac.
MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Jun 17, 2012 #58 Yericko Nyerere said: Na hapa vp? http://www.footballscores.com/fixtur...anzania/17-06- Click to expand... Mkuu hata hii hamna kitu - Page Not Found!
Yericko Nyerere said: Na hapa vp? http://www.footballscores.com/fixtur...anzania/17-06- Click to expand... Mkuu hata hii hamna kitu - Page Not Found!
A achilles Senior Member Joined Oct 10, 2011 Posts 109 Reaction score 18 Jun 17, 2012 #59 Bado mapema tusikate tamaa anything may happen wakuu
CPU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 3,858 Reaction score 687 Jun 17, 2012 #60 Half time tayari naambiwa ni 1 - 0