Taifa Stars itaifunga Kenya 3 - 0 na kutinga 16 bora kama best looser

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,809
145,778
Kwa mpira waliocheza Harambee stars jana dhidi ya Algeria ni wazi kabisa Kenya ndio vibonde katika kundi letu.

Kenya lazima wachezee 3 - 0 kutoka kwa Taifa stars then watapigwa " mkoni" mechi ya mwisho dhidi ya Senegal.

Taifa stars ina nafasi ya kupenya 16 bora tusikate tamaa japo vibonde wa makundi mengine wapo vizuri zaidi yetu.
 
kenya watashinda mechi......
kocha wa tanzania hajui kupanga kikosi..... ANAMWACHAJE ERASTO NYONI BENCHINI?
kenya watashinda kiulaini sana kutokana na kiburi cha CCmunike.
 
Kwa Kenya tutalowana pia.
Afadhali kuna hata shuti walipiga kuliko sisi
 
Tukijitahidi sana tutaambulia sare! Tatizo timu yetu haina morale kabisa! Sijui wachezaji wetu wamekumbwa na nini! Ila mwalimu Amunike nadhani naye anachangia sana timu yetu kufanya vibaya kutokana na kukosa first eleven yenye muungano uliokamilika.

Kila mechi anabadili kikosi! Kwa hali hii wachezaji hawawezi kuzoeana. Algeria nao lazima watatubamiza tu goli za kutosha kwenye hiyo mechi ya mwisho.
 
Kwa mpira waliocheza Harambee stars jana dhidi ya Algeria ni wazi kabisa Kenya ndio vibonde katika kundi letu.

Kenya lazima wachezee 3 - 0 kutoka Taifa stars then watapigwa " mkoni" mechi ya mwisho dhidi ya Senegal.

Taifa stars ina nafasi ya kupenya 16 bora tusikate tamaa japo vibonde wa makundi mengine wapo vizuri zaidi yetu.
20190624_173401.png

Kurwa na doto wapokea vichapo.
 
Back
Top Bottom