Quartz360
Senior Member
- Mar 27, 2023
- 133
- 318
Ni lini timu yetu ya taifa itafika mbali? maana ikifanya vizuri mara moja tu, wanasiasa wote wanakuwa motivational speakers, mara huyu anatoa sijui tiketi, huyu sijui motisha, mara huyu anatoa sijui nini, then at the end of the day tunapasuka,,,,,, I argue hizi kampeni za kufuzu ziendeshwe kimya kimya.